IPP MEDIA GOT HACKED!!!

umesahau kwenye ku crop virtual box inaonekana................
tehteh mr hacker........
 
Hacker mbona unakuwa muongo muongo.

IPP media wanatumia domain ya
ippmedia.com na htttps wala sio http kama hiyo link uliyoeka.

Na website ipo live

Sasa kama umeshindwa kujua ipi ni tovuti halisi ya ipp utaweza kuhack kweli ww.

Hack ipp yenyewe halafu urudi tena sio hiyo tovuti mliotengeneza wenyewe.
 
Ippmedia haijawa hacked...
Hao jamaa wametengeneza website then waka i launch kama iko hacked ionekane real website ya ipp haina kikoa cha . Co. Tz inakikoa cha . Com then afu kwa utaalamu wangu nawaona hawa bado ni wanafunzi wanasbua tu
 
Wale walioipiga rita sio mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…