Ipp acheni ukabila crew yenu mzima ni wachaga watupu

Fahari ya kusini

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2022
Posts
427
Reaction score
1,668
Hawa Ipp media ni wana ukabila sana aisee yaani crew yao mzima ni wachaga kwanzia MD mpaka mfagizi ni wachaga watupu hivi kwamba watu wa makabila mengine hawapo mpaka muajiri wachaga tu? Sio kama ukabila ni nini? Na watu wengi sana wakija kuomba ajira hapo kwenu lazima muulize ni kabila gani hili linafaida gani? Na kama mtu ni kabila nyingine atapigwa zengwe mpaka aondoke mwenyewe!!!! Acheni hizo bwana
 
Anzisha kampuni yako,uajili kabila lako, charity begins at home,
Nenda hospitali za masingasinga, asilimia 90 ya, Madonna, ni singasinga, waswahili ni wafagizi, tu,
Nenda kampuni za, mafuta,vituo vya kuuzia mafuta,GBP, nk, kama, nafasi za, juu, ni, Tanzanians of arabs extraction, za, chini ni waswahili tena lazima Uwe islam, Ila kama, mkristo, lazima, Uwe na sifa kubwa ambayo wameikosa kwa ndugu zao,nimefanya nao kazi sana, watu wazuri,
Ukifika zenj,ma hotel mengi wanamiriki wazungu, kama kuna huduma wanataka, kama stationery, service ya magenereta, AC, huwa wanatafuta kampuni za, wazungu wenzao, kitu cha kawaida sana,
 
Wafanyakazi wa IPP ni mchanganyiko wa makabila mengi.
Wewe kama hukukidhi vigezo nenda kwenye kampuni za ujenzi ukabebe makarai ya zege
 
Hawa Ipp media ni wana ukabila sana aisee yaani crew yao mzima ni wachaga kwanzia MD mpaka mfagizi ni wachaga watupu hivi kwamba watu wa makabila mengine hawapo mpaka muajiri wachaga tu? Sio kama ukabila ni nini? Na watu wengi sana wakija kuomba ajira hapo kwenu lazima muulize ni kabila gani hili linafaida gani? Na kama mtu ni kabila nyingine atapigwa zengwe mpaka aondoke mwenyewe!!!! Acheni hizo bwana
Hakuna kitu kama hicho IPP mkurugenzi mkuu wa IPP sio mchagga na wengine wengi kabisa sio wachagga, kwanza sidhani kama kuna mchagga IPP isipokuwa wamiliki.
 
Hawa Ipp media ni wana ukabila sana aisee yaani crew yao mzima ni wachaga kwanzia MD mpaka mfagizi ni wachaga watupu hivi kwamba watu wa makabila mengine hawapo mpaka muajiri wachaga tu? Sio kama ukabila ni nini? Na watu wengi sana wakija kuomba ajira hapo kwenu lazima muulize ni kabila gani hili linafaida gani? Na kama mtu ni kabila nyingine atapigwa zengwe mpaka aondoke mwenyewe!!!! Acheni hizo bwana
Zomboko ni Mzaramo na yupo IPP
 
Fungua ya huko kwenu kusini ajiri ndugu zako wa kusini muongee kiluga chenu kbs
 
Hawa Ipp media ni wana ukabila sana aisee yaani crew yao mzima ni wachaga kwanzia MD mpaka mfagizi ni wachaga watupu hivi kwamba watu wa makabila mengine hawapo mpaka muajiri wachaga tu? Sio kama ukabila ni nini? Na watu wengi sana wakija kuomba ajira hapo kwenu lazima muulize ni kabila gani hili linafaida gani? Na kama mtu ni kabila nyingine atapigwa zengwe mpaka aondoke mwenyewe!!!! Acheni hizo bwana
Pamoja ni kuwa hii hoja yako ni uwongo, ila hata wangefanya hivyo bado ingekuwa sawa tu. Ila hebu jiulize, mbona nyie mmejazana kwenye vinu vya kubangua korosho na hakuna anayelalamikia ukabila?
 
Hawa Ipp media ni wana ukabila sana aisee yaani crew yao mzima ni wachaga kwanzia MD mpaka mfagizi ni wachaga watupu hivi kwamba watu wa makabila mengine hawapo mpaka muajiri wachaga tu? Sio kama ukabila ni nini? Na watu wengi sana wakija kuomba ajira hapo kwenu lazima muulize ni kabila gani hili linafaida gani? Na kama mtu ni kabila nyingine atapigwa zengwe mpaka aondoke mwenyewe!!!! Acheni hizo bwana
Na CCM nao wanajaza na kurithisha familia zao, huku AZAM nao ni wafuasi wa Mtume.
 
Back
Top Bottom