Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,221
Nimenunua ipod ambayo ninashindwa kuitumia kwa wireless internet.
Ninaomba wadau mnisaidie jinsi ya. kuitumia coz nimebaki kuwekea mziki na picha tu.
Ipod ya Apple.
Natanguliza shukrani
Ni APPLE IPOD TOUCH 64GB. 5th GENERATION.
Ninaomba wadau mnisaidie jinsi ya. kuitumia coz nimebaki kuwekea mziki na picha tu.
Ipod ya Apple.
Natanguliza shukrani
Ni APPLE IPOD TOUCH 64GB. 5th GENERATION.