Ipo wapi zamani

Dunia imevaa bukta inatroti tayari kuingia uwanjani....
Hii ilikuwa ni Moja ya andiko Au sentensi Katika Makala ya uchambuzi kuhusu maisha yanavyobadilika.
Sikumbuki vizurini gazeti gani nadhani ni Rai la Jenerali Twaha Khalfani Ulimwengu miaka ya tisini mwanzoni.
 
AFADHALI wewe ULIKUWA unakula wali tena mkavu vitoto vinachekeleaaa '' leo bweche dodo'', dagaa, sijui chai mlikuwa mmeendelea . kwanza sukari uipate wapi? labda kwa mkuu wa wilaya ,
hizo ni luxury.. chezea mwalimu wewe,


Utajieleza ulipo upata na masufuria yako.
 
We mzee hii makitu umeitoa kwenye grupu letu la wachawi bila kuomba ridhaa yetu. Naenda kukishtaki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 

Dah fact aseee umesema kitu ambacho ndicho nakiona kabisa leo ni zaman ya kesho hatar


__Cheusi_Dawa__[emoji276]
 
majukumu yapo ya aina nyingi,
moja kuna ile ya watu kuishi mbali mbali....mtu akiwazia cost anashindwa kutoka anakupa kisingizio kingine,

ila wapo ambao bado wanakutana mara kwa mara pamoja na majukumu hayo.
Labda useme hiyo cost lakn si vinginevyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…