LTE iliwekwa kma standard ambayo ilikuwa after 3G but haikuwa na ongezeko kubwa la kitosha kuifanya iitwe 4th Generation (4G). 4G ndo ime meet standards za 4th gen speed. Lakini pia tofaut ya speed kati ya 4G na LTE in practice haikuwa kubwa sana na ndo maana unaona mitandao ina advertise kma 4G LTE.
Na ndo maana baadhi ya simu zinaonesha 4G au LTE kwa kua speed difference ni ndogo. LTE-Advanced au LTE+ ndio fastest among the 4G standards. Na hii ni lazima simu iandike 4G+ or LTE+ kuonesha kuwa inatumia hyo. Lakini 4G na LTE icons zinatumika interchangeably kutokana na kua na tofaut ndogo