GENTAMYCINE ni Dawa je, GENTAMYCIME ni nini? Acha Upumbavu unachokifanya ni kutaka kwa Makusudi Kujifananisha na GENTAMYCINE ambaye hapa JamiiForums ameshakuwa Brand tokea mwaka 2013 alipojiunga.
Unachokifanya ni kutaka Kufifisha Umaarufu wake mkubwa na Uwasilishaji wake wa Kipekee wa Masuala Mtambuka hapa JamiiForums na Kusafiria Nyota yake na kuwa Kwake na 'Natural Charm' ukidhani utawahadaa Wanaomkubali na waanze Kukuamini Wewe.
JamiiForums nzima ina GENTAMYCINE Mmoja tu ambaye ni 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' kama vile ambavyo JamiiForums nzima kuna MINOCYCLINE Mmoja tu ambaye ni 'Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person' sawa?
Huna Akili.