Ipo siku wataamka tu

Ipo siku wataamka tu

Mbwilimbwili

Senior Member
Joined
Jun 30, 2020
Posts
183
Reaction score
282
Naamini wahenga hawakukosea na msemo wao tukuka kabisa "Ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka", hapo Dodoma naona mnaendelea vizuri na kazi ya 'kuwatwika' zigo la tozo 'Wanachi wazalendo', nadhani sasa hivi inayofuatia ni tozo ya 'kubiolojiana', naamini huko pia mtapata mapato makubwa mno kwani kwa ninavyowajua 'Wazalendo' watalipa tu hata hiyo ili waendelee kufaidi starehe muhimu kuliko zote. Ila ipo muda si mrefu wataamka tu, hata 'mjinga' au 'popoma' hua anakua ana akili 'sometimes'.
 
Hahaha.......popoma huwa anaamka!
Popoma Mkuu Mwandamizi kala Ban aliwahi mfugulia uzi huyu Vice_Popoma
Screenshot_20220927_212556.jpg
Screenshot_20220927_212620.jpg
 
Wewe pia ni GENTAMYCIME maana anazo akaunti nyingi sana. Yule MINOCYCLINE huwa anakuja wakati genta amekula ban
🤣🤣🤣🤣 mkuu mimi nina account moja tu. Why wpuld i try to ride under someone's wing.?
Yawezekana mtu anafahamika kwa mambo mbalimbali humu ndani either mazuri au mabaya but hio ndo hulka yake, sioni kama ni sawa if mtu mwingine akitumia hyo kama gia ya kujikweza.
Kuna vitu viko wazi, mwandiko wa popoma na huyo minocyline unafanana kabisa lak huyu mwingine ni "wanna be".
 
Popoma ni uhakika MINOCYCLINE hilo halina ubishi angalia nyuzi na muandiko labda huyu New Genta naweza kusema site.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom