MWALIMU DAIMA
Senior Member
- Mar 4, 2023
- 129
- 263
Shida ya walimu wa Tanzania ni pale wengi wao pamoja na viongozi wao wa juu walipo amua kujifungamanisha na uchawa kwa chama cha ccm na kuacha kupigania maslahi yao.Ipo siku walimu wataamka,
Ipo siku walimu watasimama,
Ipo siku walimu wataamua,
Ipo siku machozi yao yataisha,
Ipo siku walimu watapewa heshima wanayostahili,
IPO siku watatambulika kama Watu muhimu sana,
Ipo siku maslahi ya walimu yataboreshwa.
Ipo siku, ipo siku, ipo siku na waambia ipo siku.
Siku takapo chukua kijiti Cha urais wa CWT miaka 15 ijayo, kila kitu kwenye maisha ya walimu kitabadilika.
Alikukosea nini mwalimu? Siyo kwa povu hili.Walimu ni wajinga
Ukimuona mwalimu ni matokeo ya ujinga wake
Hawalipi madeni wajinga hawaAlikukosea nini mwalimu? Siyo kwa povu hili.
Mkishaamka mtafanya nini? Walimu ni wanafiki sana, wananjaa kali sana na hawana umojaIpo siku walimu wataamka,
Ipo siku walimu watasimama,
Ipo siku walimu wataamua,
Ipo siku machozi yao yataisha,
Ipo siku walimu watapewa heshima wanayostahili,
IPO siku watatambulika kama Watu muhimu sana,
Ipo siku maslahi ya walimu yataboreshwa.
Ipo siku, ipo siku, ipo siku na waambia ipo siku.
Siku takapo chukua kijiti Cha urais wa CWT miaka 15 ijayo, kila kitu kwenye maisha ya walimu kitabadilika.
Hiyo siku haipo! Achana na hizi job za kusubiria uzee ukiwa masikini! Fanya chochote kwaakili!Ipo siku walimu wataamka,
Ipo siku walimu watasimama,
Ipo siku walimu wataamua,
Ipo siku machozi yao yataisha,
Ipo siku walimu watapewa heshima wanayostahili,
IPO siku watatambulika kama Watu muhimu sana,
Ipo siku maslahi ya walimu yataboreshwa.
Ipo siku, ipo siku, ipo siku na waambia ipo siku.
Siku takapo chukua kijiti Cha urais wa CWT miaka 15 ijayo, kila kitu kwenye maisha ya walimu kitabadilika.
amka utajikojolea mwalimu kazi ya ualimu ni kazi mchawi wa mwalimu ni mwalimu mwenzie
Mkishaamka mtafanya nini? Walimu ni wanafiki sana, wananjaa kali sana na hawana umoja
Nishaachana nao malofa hawaWapi Mpwayungu Village
A.k.a Bwana ndimu mkata shombo