Ipo siku tutangoza hawa Ai

Ipo siku tutangoza hawa Ai

Internet-Money

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2021
Posts
623
Reaction score
1,319
Bongo movie na ma-model huko Instagram , mjipange sana. Hizi ni kazi za Ai, zilizonichukua Dakika 3 , ku-generate
Gemini_Generated_Image_fymwbgfymwbgfymw.png

Nashauri. Mapema kabla mambo hayajaharibika. SoMo la computer liwe la lazima kuanzia darasa la kwanza na liingize topic za AI and how it works.

Maana Hawa watoto wa grade one wakiwa nyumbani wanachezea simu. Sasa kama walivyoweza kutofautisha katuni na watu halisi ndio hivyo hivyo waweze kutofautisha image generated by AI.

Bila hivyo miaka 30 tu tokea sasa ( kwanza hata sasa) watakaokuwepo hawataweza kutofautisha.
 
Maisha yamekuwa Rahisi sana kupitia AI sasa hivi uliza chochote ukitakacho duniani au nchini unapata.
Hata ukitaka kuandika vitabu chochote dakika tatu tu
 
Nashauri. Mapema kabla mambo hayajaharibika. SoMo la computer liwe tu la lazima kuanzia darasa la kwanza Bali liingize topic za AI and how it works.

Maana Hawa watoto wa grade one wakiwa nyumbani wanachezea simu. Sasa kama walivyoweza kutofautisha katuni na watu halisi ndio hivyo hivyo waweze kutofautisha image generated by AI.

Bila hivyo miaka 30 tu tokea sasa ( kwanza hata sasa) watakaokuwepo hawataweza kutofautisha.
View attachment 3352941

Mbona tumechelewa sana, coz Computer Broz wanalia
UI Designer wametoka kulia juzi hapo, Ai inaandika code yenyewe

Mark naye anampango wa kufukuza programmer wore , Ai ifanye kazi

Na kumbuka hii generation ya kwanza Ai , kuna AGI na ASI - bado zote ni moto - hazijatoka
 
Ni AI gan hii mkuu?
Nashauri. Mapema kabla mambo hayajaharibika. SoMo la computer liwe la lazima kuanzia darasa la kwanza na liingize topic za AI and how it works.

Maana Hawa watoto wa grade one wakiwa nyumbani wanachezea simu. Sasa kama walivyoweza kutofautisha katuni na watu halisi ndio hivyo hivyo waweze kutofautisha image generated by AI.

Bila hivyo miaka 30 tu tokea sasa ( kwanza hata sasa) watakaokuwepo hawataweza kutofautisha.
View attachment 3352941
 
AI ndo kila kitu.
Hata ukitaka kujua kusudi lako la maisha nini KAZI zipi upaswi kufanya ukitaka kufanikiwa nk
 
Attachments

  • FDownloader.Net_AQNm_ixVf21qmk4IcrPd96LGuRHIlzLnVzQsiYPFYB6mBdCUrw6ESjGXoSObcqwdSxWPiICazzPDEI...mp4
    948.3 KB
  • FDownloader.Net_AQPH30mxo2Sv_5ubH8WZ7DppQbqIzLI5i00yfWXib5VWeyIFxnEQlt-dtsWayKnb__z4AhzjCtjF03...mp4
    868.1 KB
  • FDownloader.Net_AQP5nS78EMpvgMkrJGijpcbolQi0-BffnMJMqPo2x4_f7TpImh9tDNu7YujxirD7Si-uuuBJOSdg5r...mp4
    1.5 MB
Back
Top Bottom