Ipo siku tu na mimi....

ni jambo jema kuwa na ndoto ili ufanye kazi kwa bidii kufikia ndoto zako...hata mie ugonjwa wangu ndio huo ndg yangu! tutafika tu ndg yangu! tupige kazi huku tukiwa na malengo au vp!
 
Duniani hakuna kukata tamaa mpaka unaingia kaburini, komaa mwanangu .....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…