Labda kama unadhani Samia ana shida na uraisi kuliko mafisadi yanayotaka abaki na huo raisi kwa faida yao.
Politics sio rahisi, hasa pale civil services Inapokuwa weak ndio shida ya Tanzania.
Yaani kuna watu wapo tayari kutengeneza ‘’arm dealers’ (do you know the connections and licences required), kisa tu wapige deal zao.
Yaani tumefikia hatua serikali
ya Tanzania inanunua silaha kupitia an ‘arm dealer’ wa kutengeneza do we understand access tunayomtengenezea huyu mtu
Anyway na huyo dealer awe anajiamini, vinginevyo elewa serikali ya maana ikiingia madarakani ‘you are dead ‘.
Nonetheless the stupidity ya hawa watu is beyond me, vyombo vya ulinzi na usalama vinatengeneza hawa watu do they know risks associated the stupidity is beyond me.
Like seriously yaani kuna raia wanajua latest weapons za walinzi wa raisi, PSU hawana coordination na other security forces. Just a few of the detected nonsense; oh my god.
Whet a shitty county.
It’s nit a joke, usalama wa taifa ni mchezo wa watu wenye akili ndio maana ukaitwa ‘intelligence services’ the meaning is literally.