drphone
JF-Expert Member
- Sep 29, 2009
- 3,542
- 295
naamini kutokana na ushindani uliopo wa mitandao ya cm ipo cku mtandao mmoja utaamua kutumia kiwango kmoja kwa mitandao yote yani kama ni thumuni basi mitandao yote na ililikitimia watanzania watakuwa wamepunguziwa mzigo wa kutumia line 2 au cm 3-4 kwa wakati mmoja kwa sababu ya mfumo wa kila mtandao kujivutia kwake yani mwamba ngoma uvuta upande wake na ninatabiri atakaye aanza hili ni tigo kama kawa