Ipo siku kova (polisi)mtalipa haki zetu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ipo siku kova (polisi)mtalipa haki zetu!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by sindano butu, Aug 28, 2012.

 1. sindano butu

  sindano butu JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  Hii nchi ni yetu na si nchi ya watawala.Kila mtu katika hii nchi anahaki ya kukutana na wenzake sehemu yoyote panapostahili hata kama jambo si la msingi.Watu wanahaki kutoa maoni kwa njia yeyote hata kama wakionekana kwamba ni wazimu.jambo la msingi anachotakiwa afanye kova (polisi) ni kuyazuia mawazo ya watu yasitokee tena na sii kuzuia watu wasikusanyike.we kakova(polisi) kwa nini msitume FFU kwa watawala kwani ndoo chanzo cha mikusanyiko.utaweza kutoa maandamano ya watu lakini uwezi kutoa mawazo yao.shida yako kova (polisi) mnanjaa kwasababu mnawaungukia viongozi.mko teyari kuua watu hata kama mnajua kwamba baadae mtafaidika.NA NDOTO IPO SIKU KOVA UTATULIPA HAKI NA DAMU ZETU ZINAZOPOTEA KWASABABU YENU.
   
Loading...