Ipo sababu ya kumuadhibu kwa kumnyima kura 2020 kama atasimama tena

kipara leo uko vizuri big up,huyu mzee dikiteta hana adabu tutamkomesha akisimama tena kuomba kura 2020
 
Mku kwa siasa tunazozifanya ss ccm ni za kizamani kwanzi sio za Mtu mpenda amani anaweza kuzifurshia kwani ni vile Watanzania wanaangalia tuu lakini huwa haya mambo yana mwisho wake. Ndiyo maana mwenyekiti wetu aliyepita Kikwete alisema chama kisimame chenyewe kwa hoja sio kwa mbeleko za kuligawa Taifa kwa ajili ya kutawala na likishagawanyika zaidi tutamtawala yupi au hao wazalendo ambao hawajulikani wako wangapi.
Tuache siasa maji taka tujenge hoja sio mbeleko au kejeli zilizojaa kiburi kinachozidisha mgawanyiko anayeonewa siku zote huonewa huruma na wenye huruma wanazidi kuongezeka ndo maana uoga umetuzidi na mwisho tumeona suluhisho ni sheria kandamizi kumbe sio mbadala.
Hili taifa ni moja sio la kiitikadi.
Amina Tanzania
Mtanyoosha maelezo tu!
 
Maadui kuelekea 2020 wanazidi kuongezeka paa uchaguzi ukija kuwa wa haki na uwazi kiburi madaraka naona kitavyo vunja amani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…