Video Footage kwa hisani ya Millard Ayo wa AYO TV. (Full HD) Wanabodi, Swali. Hii ni mada ya swali, Jee hii kauli ya rais wetu, Mhe. Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ya kusitisha uzazi wa mpango nchini Tanzania kwa Kauli ya "Fyatueni Watoto wa Kutosha nitawasomesha bure!" jee kauli hii imetoka...