Ipi ya kununua kati ya IST na Altezza?

Sports car last long but seriously ist hata ukisema utembelee on rough road utasikia inavyoomba poo but altezza ina nguvu ya kuhimili mikiki ya road za nchi yetu ikiwa chini ya uangalizi mzuri.! ist labda kama ni route za mjini tuu
 
Kuona tofauti na kuangalia,wewe ist unaiona tu .ipo poa sana
 
Kila moja hapo ni nzuri inategemea matumizi yako tu

Nilishamiliki Altezza engine Yamaha na nilishamiliki IST vvti engine.

Ila sikujuta kuendesha Altezza though ukiingia petrol station ujipangeee
 
Inakula Sana mafuta au?
 
Nunua IST then ifanyie tuning ECU mapping, funga turbocharger na intercooler, Newbody kit, chrome wheels... Then Artezza itasubiri hapo... Na recommended IST engine yake ni nzuri sana(1NZ-FE).
 
Me naamini ametaja hizi gari mbili kutokana na bajet yake,hizo upgrades ulizomtajia siyo sawa na kubadilisha shock absober hiyo upgrade ni shughuli nyingine aisee.
 
Sports car last long but seriously ist hata ukisema utembelee on rough road utasikia inavyoomba poo but altezza ina nguvu ya kuhimili mikiki ya road za nchi yetu ikiwa chini ya uangalizi mzuri.! ist labda kama ni route za mjini tuu
Zote systems za miguu yake inashabihiana...na ni GARI ambazo hazitaki kuburuzwa rough road ovyo ovyo na service ya miguu ifanyike kila inapolazimika bila kuchelewa .
 
Back
Top Bottom