MAJIYAPWANI JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 1,732 Reaction score 2,714 Oct 26, 2017 #1 Hivi tofauti kati ya e-visa na visa free entry nini ebu nielewesheni nimejarbu kutafuta tafuta nimeona nije kwenu wana JF haswa haswa e-visa
Hivi tofauti kati ya e-visa na visa free entry nini ebu nielewesheni nimejarbu kutafuta tafuta nimeona nije kwenu wana JF haswa haswa e-visa
Pyepyepye JF-Expert Member Joined Jan 6, 2017 Posts 1,940 Reaction score 3,858 Oct 26, 2017 #2 Wacha tuwasubiri tu
mabwana JF-Expert Member Joined Feb 15, 2012 Posts 307 Reaction score 318 Oct 27, 2017 #3 e-visa ni visa inatolewa kwa internet unaweza kuikuta airport kwa electronic na visa ni kawaida inabandikwa kwa pass yako hivyo ndio upeo
e-visa ni visa inatolewa kwa internet unaweza kuikuta airport kwa electronic na visa ni kawaida inabandikwa kwa pass yako hivyo ndio upeo
Job K JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 9,314 Reaction score 7,169 Oct 27, 2017 #4 mabwana said: e-visa ni visa inatolewa kwa internet unaweza kuikuta airport kwa electronic na visa ni kawaida inabandikwa kwa pass yako hivyo ndio upeo Click to expand... Mabwana wawili malizia kwa kusema visa free entry maanake unaingia kwenye nchi husika bila visa, mfano wananchi wa East Africa wanaingia kwenye nchi wanachama bila visa!
mabwana said: e-visa ni visa inatolewa kwa internet unaweza kuikuta airport kwa electronic na visa ni kawaida inabandikwa kwa pass yako hivyo ndio upeo Click to expand... Mabwana wawili malizia kwa kusema visa free entry maanake unaingia kwenye nchi husika bila visa, mfano wananchi wa East Africa wanaingia kwenye nchi wanachama bila visa!