computer sience yeye ni kilaka kote yupo ila inashauriwa ukiwa computer sience mwaka wa pili uangalie wewe unaamua kubase wapi kwenye maswala ya computer kama ni hardware sawa, software sawa hata security bado ni ww tuu mwenyewe.
Sent using
Jamii Forums mobile app