Ipi tofauti kati ya Computer Science, Software Engineering na Computer Engineering?

Sijui vyuo vinatofautiana, but kama utasoma degree, ndan ya kuna modules za biashara, mfano,IT, walikua wanasoma basic za account, laki. Sijui mtaala wa sasahiv ukoje.
Kwenye computer science kuna oparational research, inabusness ideas kwa ndan... hii module ni compasory. Hii ni mwaka wa tatu. Pia, kuna customer care, pia hii ni module ndan ya computer science, unaopt pia. IT wanalisoma pia. Siunaona!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks God bless you.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu sio kwamba information technology ndio ipo chini ya information system?
kwasababu huyu wa informtion system anadeal na mambo ya kuwezesha information kuwa sanifu wakati huyu wa IT yeye anamtengenezea mazingira mazuri huyu muandaa information kwa kudeal na components za computer
 
Information Technology inabeba technologies zote za Informations
Information systems ni sehemu ya hizo teknolojia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Information Technology inabeba technologies zote za Informations
Information systems ni sehemu ya hizo teknolojia

Sent using Jamii Forums mobile app



ebu soma hapa mkuu labda nimeelewa vibaya.

Information technology falls under the IS umbrella but deals with thetechnology involved in the systemsthemselves. Information technologycan be defined as the study, design, implementation, support or management of computer-basedinformation systems. IT typically includes hardware, software, databases and networks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…