Premij canoon
JF-Expert Member
- May 27, 2018
- 1,116
- 2,490
Nenda kairuki hospital pale nlikua na tatizo hilo kuna daktari wa ngozi nilipewa akaniangalia akanipa dawa za kumeza nlitumia tatizo liliisha ilikua 2017 hadi leo nikikumbuka jina la zile dawa ntaituma hapa
Dawa za kunywa ndio nzuri zaidi, nenda hata kwenye pharmacy kubwa kubwa utapata dawa. Zamani zilinusumbua sana, kila ukipaka dawa inaonekana kuna vijisehemu vinabaki, baada ya muda zinarudi. Dawa ya kumeza ilimaliza jumla jumla
Ni zamani sana mkuu, mpaka nimeshasahu. Nadhani ilikuwa 2005 huko, ila dawa zipo ni jamii ya antifungalNi dawa gani ulitumia mkuu?
Hivi hii dawa kama una fangasi unatumia mwezi mzima au?...Kama ni Fangasi kuna dawa hizo za kunywa, dawa moja inaitwa Griseofulvin. Lakini inatakiwa kupima kujiridhisha kuwa ni fangasi maana yapo magonjwa mengi sana ya ngozi yanakuwa si fangasi bali ya kurithi(genetic)
Ketoconazole iko banned kwa hapa bongo..hii umeinunua wapi mkuu au haupo bongo?Ni kuoga na kujisugua na kitambaa mwilini pia kujikausha maji vzr mimi n8litumia dawa hii imenisaidia ndani ya week 2 zimeisha zote View attachment 1765227
Kwanini wameizuia mkuu..?Ketoconazole iko banned kwa hapa bongo..hii umeinunua wapi mkuu au haupo bongo?
Ketoconazole ina side effect mbaya sana..Orally taken.Kwanini wameizuia mkuu..?