Ipi simu nzuri kati ya Infinix hot 9 au Tecno camon 15

Ipi simu nzuri kati ya Infinix hot 9 au Tecno camon 15

Simu nyingi za kampuni ya tecno sifa zinafanana ikiwemo hizo infinix hot 9 na Tecno Camon japo utofauti upo kwenye Chip kitu unachoweza kutumia kujua ubora wa simu kwenye performance.

Tecno Camon 15 inatumia Mediatek MT6765 Helio P35 wakati infix hot 9 inatumia MediaTek Helio A25.

Bila kuziangalia hizo chips kiundani, Helio P35 inaizidi vitu vingi Helio 25 zote zinatumia core ndogo cortex 53.

Hivyo Camon 15 ni nzuri zaidi ya hot 9.

Kwa kuzingatia bei ya Camon 15 na hot 9 nakushauri ununue simu nyingine sio tecno, hizo chips zinazidiw na chip ya zamani ya Snapdragon 665 kwenye kila kitu.

Kwa mfano helio p25 network ya 4G inatumia ile ya CAT-7(category 7) spidi ya juu ni 300Mbps, na helio p25 ina cat-4 spidi ya juu ni 150 Mbps wakati Snapdragon 665 ina cat-12 spidi ya juu 600Mbps.
4G vs LTE – what is the difference?

Wakati simu za snapdragon 665 ni nafuu kulinganisha na tecno, mfano ni xiaomi redmi note 8 inauzwa $142(sh 328616.40) aliexpress ukilinganisha na sh 400,000 ya camon 15
 
vp izi chip za exynos
Chip za exynos ni nzuri lakini bado snapdragon ni nzuri zaidi.

Kuna reviews zilionyesha Samsung S20 yenye snapdragon inaizidi Samsung S20 yenye exynos.

Yaani Samsung S20(snapdragon) vs Samsung S20(exynos) simu mbili tofauti bei moja.
 
Unavoongea mambo ya chip utadhani 'average end-user' ataona tofauti yoyote ya performance katika matumizi ya kawaida ya kila siku!!!

Too much knowing sometimes is sluggish!!
 
Chip za exynos ni nzuri lakini bado snapdragon ni nzuri zaidi.

Kuna reviews zilionyesha Samsung S20 yenye snapdragon inaizidi Samsung S20 yenye exynos.

Yaani Samsung S20(snapdragon) vs Samsung S20(exynos) simu mbili tofauti bei moja.
utofauti wake mkubwa uko wap hasa?
 
Speed katika nini? Kumtumia mtu message WhatsApp... Kupiga picha, kutuma SMS. Au speed katika simu kuwaka na kuzima?

Vitu vingine kujifanya much know tu yaani kifupi hizo tofauti za chip technology kwa watumiaji wa kawaida wa simu (ambao ndio 90% ya end-users) havina maana.

Mwisho wa siku majority of the smartphone brands available in the local market zina-satify mahitaji ya almost watumiaji wote.

Mambo ya chip bla bla labda watu wanaogeuza cm zao kama video cameras, software developers.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom