ipi simu bora kati ya samsung galaxy note II note na sony xperia

ipi simu bora kati ya samsung galaxy note II note na sony xperia

sikiolakufa

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2010
Posts
411
Reaction score
55
wakuu nataka kununua simu nzuri ili niwe naitumia pia kama tablet...je kati ya hizo mbili ipi ni nzuri nataka nikiwa na simu nisiwe na ulazima wa kununua ipad naomba maoni? je nitaipata mlimani city Dar kwa sh ngapi?
 
Tafuta nokia lumia 9200 mwisho wa matatzo
 
Kama shida yako ni kureplace iPad then chuka galaxy note II kwa kuwa ina display kubwa. Japokuwa huja specify sony xperia ipi unayoongelea ila ninachojua hakuna yenye display au screen inayolingana na ya note II. Mambo mengine hardly any difference.
 
Mimi narecommend Galaxy note II coz its bigger and a few features. But Kuna simu tatu zinatoka karibuni zenye display kubwa ya kutosha 1.Galaxy Note III ambayo itakuwa 6.3"inches 2.Sony Xperia Z 5"inches na 3.Huawei Acend D2 6"inches kwaio kazi kwako
 
Mkuu mm nina tumia xperia s, ni nzuri sana. Nadhani ni one the best phone kwenye display. Tatizo ni kwenye battery kama zilivyo android nyingine.

Sent using wireless by wire
 
Galaxy Note 2 is the best, mimi ninayo na nimeridhika nayo sana.
 
Sijaona simu kama experia s natumia mwaka m1 sasa ni yaukweli
 
Kama shida yako ni kureplace iPad then chuka galaxy note II kwa kuwa ina display kubwa. Japokuwa huja specify sony xperia ipi unayoongelea ila ninachojua hakuna yenye display au screen inayolingana na ya note II. Mambo mengine hardly any difference.
Mkuu na galaxy note II kwa upande wa bei ni kiasi gani? je kwa dar es salaam zinapatikana?
 
Galaxy akuna charge kabisa
Sony experia mpya hizi zenye camera 3D panorama asee kali!! Get a version 3 of it! Zenye RAM 1GB ! 2proccer! 12 m.p camera!! Ni dola 468 if not mistaken!
Utafurahi
 
Chukua star n8000 ni copy ya galaxy note achana na majina makubwa!
 
Back
Top Bottom