Ncha Kali JF-Expert Member Sep 19, 2019 14,530 27,061 Jul 2, 2020 #21 Neno Show Kali tu ndo limenileta mbio, nilichokikuta ndani ni utopolo tu!
Kukaja Kununu JF-Expert Member Mar 27, 2017 1,075 1,204 Jul 2, 2020 #22 kubwa kuliko baby (in sepetu's voice)
Mngurimi JF-Expert Member May 27, 2020 819 789 Jul 2, 2020 #25 Ndesa Khan said: Guys naomba leo tuondoe utata kuhusu hizi show mbili ni show gan Kali kwa sasa Tanzania maana kila nikiwasikiliza wote wanapondeana. Je, nani mkweli kwenu? Click to expand... Usifananishe Planet Bongo na vitu vya ajabu
Ndesa Khan said: Guys naomba leo tuondoe utata kuhusu hizi show mbili ni show gan Kali kwa sasa Tanzania maana kila nikiwasikiliza wote wanapondeana. Je, nani mkweli kwenu? Click to expand... Usifananishe Planet Bongo na vitu vya ajabu
mjasiliaupeo JF-Expert Member Apr 21, 2013 2,151 3,066 Jul 2, 2020 #26 XXL ni bonge la show, nimejaribu kuchepuka wee, ila naamua kurudi tu kwenye chama la wana.
Bajuda JF-Expert Member Nov 29, 2018 225 253 Jul 5, 2020 #27 Hahahaha ka mkubwa. Askudanganye MTU Binafsi yangu Show kali inabebwa na DJs wakali. Show haiwez kuwa Kali kama DJs ni wabovu.. Na hakuna DJs wakali kama wa XXL na PB. Kimya.
Hahahaha ka mkubwa. Askudanganye MTU Binafsi yangu Show kali inabebwa na DJs wakali. Show haiwez kuwa Kali kama DJs ni wabovu.. Na hakuna DJs wakali kama wa XXL na PB. Kimya.
Kigoma Independent JF-Expert Member Dec 18, 2017 3,519 2,047 Jul 11, 2020 #28 mjasiliaupeo said: XXL ni bonge la show, nimejaribu kuchepuka wee, ila naamua kurudi tu kwenye chama la wana. Click to expand... Chama la Wana Tanzania ni WCB peke yake
mjasiliaupeo said: XXL ni bonge la show, nimejaribu kuchepuka wee, ila naamua kurudi tu kwenye chama la wana. Click to expand... Chama la Wana Tanzania ni WCB peke yake