nanawoo
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 1,312
- 1,278
Natanguliza shukran zangu kwa wote mliopo humu nimefika Tanga salama na nimefikia Nyinda classic pazuri sana pametulia ninaomba kwa wenyeji wa Tanga wanielekeze ni wapi pa kutembelea baada ya kazi au kama kuna mwenyej zaid ani pm hata no zake au kuniambia nimkute wapi anielekeze natumia private car