hadi sasa strong4922 haijapata mpinzaniHabari wakuu wa nyumba. Mimi ni mpenzi na mtumiaji wa free to air channels kwenye madishi makubwa. Kwasasa natumia tiger T245+ pro ambayo nataka kuupdate kupanda kidogo kwani hii nataka kuihamisha. Sasa naomba mawazo ni ipi receiver Bora na ya kisasa kwa sasa. Asante
Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
Bei gan iviii?Chukua Freesat,ndio mpango ndio namba moja kwa powerVu,hata google wanajua
Strong series ya 4950 yaani 4950H,4950M,na 4950E hizi zote zinakubali software ya AUTOROLLHii strong str4922 si in autorol wakuu?
Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
Du.. kuwa manually si kazi sana. Dahhapana
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Itajileta yenyewe... Ngoja tuSuala jingine tutapataje epl msimu huu kama ptv sport wamehamia conax??
Wadau hizo strong srt4922 nazipata sehemu gani dsm?ungeweka kwanza sifa za hiyo tiger t245+ ili tuanzie hapo
hadi sasa strong4922 haijapata mpinzani
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
msimu huu tutanyooka mbona!
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
njoo nikuuzieWadau hizo strong srt4922 nazipata sehemu gani dsm?
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Jipange kustream au kutumia iptv box...Suala jingine tutapataje epl msimu huu kama ptv sport wamehamia conax??