Katika hizo simu mbili, licha ya kuwa na processor sawa "MediaTek Helio G99" ila Infinix Note 30 Pro ni bora zaidi kwa sababu ya vitu kama display, camera, charging speed, wireless charging na design
Infinix Note 30 Pro ni bora zaidi. Ila zaidi ya zote nashauri ununue "Samsung Galaxy A34 5G" badala yake
Halafu huu uzi ungeupeleka kwenye jukwaa la Tech ingekuwa vyema zaidi