ipi ni transaction id ya mpesa kwenda heslb | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ipi ni transaction id ya mpesa kwenda heslb

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Machozi ya Simba, Oct 15, 2012.

 1. Machozi ya Simba

  Machozi ya Simba JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 2,111
  Likes Received: 845
  Trophy Points: 280
  nimeapply hesslb mpesa wakatuma hii sms k61ud233 imethibitishwa tshs 5000 imetumwa kwa heslb kwenye akaunt number 234561234 sasa je ipi kati ya hizo namba ni transaction id
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  ni hiyo K61UD233 ndio transaction ID kumbuka kua hizo herufi ziko katika mfumo wa herufi kubwa sio ndogo
   
 3. Msherwa

  Msherwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 1,344
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  kwan mara ya kwanza ulitumia zipi, had ikushnde kwenye kuapeal?
   
Loading...