Ipi ni tarehe sahihi ya kumalizika mkataba wa kodi ya kupanga

PierreLiquid

JF-Expert Member
Oct 16, 2019
596
2,279
Habari, Kuna suala huwa linanitatizaga kwenye majibu ya tarehe sahihi ya mkataba wa pango. Ngoja niongelee kwa mifano huenda tutaelewana vizuri.

1-Mpangaji katoa Kodi tarehe 23 January. Kodi ya miezi 6. Tarehe sahihi yakumalizika Kodi hii ni tarehe 23 June(6) au tarehe 23 July(7).

2-Mpangaji katoa Kodi tarehe 01 January(1) Kodi yake itaisha tarehe 1 June(6) au tarehe 1July(7)

Kodi inaanzia mwezi 1 siku ilipotolewa au siku ya tarehe ya mwezi unaofuata
 
Miezi 6 ni siku 180.

Utata inatoka wapi? Kuhesabu siku 180 haiwezi kuwa shida!
 
kwanza kama tarehe ni 23 january miezi sita yako mkataba wako unaisha tarehe 22 july sio tarehe 23 july
23 july hapo utakuwa umemzulumu mwenye nyumba siku moja
 
Mkuu ni hivyo hivyo kama unavyouliza maswali ndo hivyo hivyo unavyojijibu mwenyewe!
 
"Mpumbavu ni yule anaejifanya anafahamu ingali hafahamu, mjinga ni yule asiefahamu na anahitaji kufahamishwa" Kwan kuna ugumu gani kumuelekeza mtu anapohitaji msaada wa kuelekezwa
Elimu elimu elimu
Huu nao uzi. Afanalekiiii!!!
Usisubili mwenye nyumba akufuate akwambia nipe kodi yangu wew jiongezee mwenyewe

Ukishindwa utaongzwa na mwenye Mali zao
 
23 jan mpaka 23 feb,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,1.
23 feb mpaka 23 march,,,,,,,,,,,,,2.
23 march 23 mpaka april 23,,,3.
23 april mpaka may 23,,,,,,,,,,,,,,,4.
23 may mpaka june 23,,,,,,,,,,,,,,,5.
23 june mpaka 23 july,,,,,,,,,,,,,,,,,6.

mwezi july 23 ndo mwisho wa mkataba wako sepa kirohosafi uache nyumba yangu bila kelele.ukiamkia 24 bado upo ndani kwangu naanza kukuchaji buku tano kila siku.chelewa kuhama sasa nikuonyeshe mziki wangu,vinginevyo utoe hiyo bukudasi ya kila daily.
 
23 jan mpaka 23 feb,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,1.
23 feb mpaka 23 march,,,,,,,,,,,,,2.
23 march 23 mpaka april 23,,,3.
23 april mpaka may 23,,,,,,,,,,,,,,,4.
23 may mpaka june 23,,,,,,,,,,,,,,,5.
23 june mpaka 23 july,,,,,,,,,,,,,,,,,6.

mwezi july 23 ndo mwisho wa mkataba wako sepa kirohosafi uache nyumba yangu bila kelele.ukiamkia 24 bado upo ndani kwangu naanza kukuchaji buku tano kila siku.chelewa kuhama sasa nikuonyeshe mziki wangu,vinginevyo utoe hiyo bukudasi ya kila daily.
tarehe 23 july atakiwi kuwepo kwenye pango kodi yake inaisha tarehe 22
kumbuka mwaka anaisha tarehe 31 desemba,tarehe moja mwezi wa kwanza ni mwaka mwingine
 
Back
Top Bottom