Ipi ni Siasa bora inayofaa kwa sasa katika nchi zetu za Bara la Afrika kati ya hizi zifuatazo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,551
108,886
Siasa A

Ongoza Wananchi wako kwa Upendo, Utu na Mshikamano mkubwa huku ukiwa ni Rais wa Kusikiliza Mawazo ya Watu wa Kawaida huku ukihakikisha wale Maadui zako wote wa Kisiasa wanakuwa Marafik zako katika Uongozi wako na ukishirikiana nao katika Ustawi mzima wa nchi yako na ukiwa Mtu namba moja unayependa Kukosolewa na unashaurika Kiurahisi lakini pia unapoona umekosea unakuwa mwepesi Kuomba Radhi.

Siasa B

Ongoza kwa Mabavu, Ubabe, Ukatili, Mabifu, Roho Mbaya na Uuwaji kwa wale ambao unawaona wanakuzidi Akili au Mawazo bora katika Uongozi na Utawala wako. Hutaki Kushaurika, Mjuaji wa kila Jambo, Mropokaji hovyo na wala huheshimu vyombo vyako husika vya Ulinzi na Usalama na unaifanya nchi kama Mali yako / Familia yako na kwamba utakaloliamua Wewe basi ndiyo hilo hilo. Na pia ukijifanya nchi hiyo nzima Wewe ndiyo Msomi na waliobaki ni Mapopoma watupu.

Nawasilisha.
 
Hio ya B ni hatari mambo yakigeuka maana kustaafu akukimbiwi uwe unapenda upendi case study yaliyopo yalikuwepo.Siasa zetu ukistaafu huna chako huna mamlaka wala amri,waliokusifu ndio watakoanza kukuponda na kukudhalilisha.
 
Siasa A

Ongoza Wananchi wako kwa Upendo, Utu na Mshikamano mkubwa huku ukiwa ni Rais wa Kusikiliza Mawazo ya Watu wa Kawaida huku ukihakikisha wale Maadui zako wote wa Kisiasa wanakuwa Marafik zako katika Uongozi wako na ukishirikiana nao katika Ustawi mzima wa nchi yako na ukiwa Mtu namba moja unayependa Kukosolewa na unashaurika Kiurahisi lakini pia unapoona umekosea unakuwa mwepesi Kuomba Radhi.

Siasa B

Ongoza kwa Mabavu, Ubabe, Ukatili, Mabifu, Roho Mbaya na Uuwaji kwa wale ambao unawaona wanakuzidi Akili au Mawazo bora katika Uongozi na Utawala wako. Hutaki Kushaurika, Mjuaji wa kila Jambo, Mropokaji hovyo na wala huheshimu vyombo vyako husika vya Ulinzi na Usalama na unaifanya nchi kama Mali yako / Familia yako na kwamba utakaloliamua Wewe basi ndiyo hilo hilo. Na pia ukijifanya nchi hiyo nzima Wewe ndiyo Msomi na waliobaki ni Mapopoma watupu.

Nawasilisha.
B utakuwa mfungwa mtarajiwa
 
Hiyo B hiyo!! we acha tu. Kama naiona vile inavyoendelea kujineemesha huku A ikishindwa kabisa kuamini kinachotokea.
 
Back
Top Bottom