Ipi ni sababu ya samsung S20 series kufanya vibaya sokoni?

Unasema samsung anashindana na Android.. how??, samsung hawatumii android? au ushindani wako ulimaanisha nn?

msingi wa swali langu ndio ulikua huo
Kwenye category ya os, android ana competition kubwa sana. Mpaka atoboe sio leo.

Hata kampuni ndogo kama Oppo au One plus wanatoa vyuma vikali kwa bei 'rafiki'.

Ndio maana nasema kila siku, samsung wangeteneza os yao, wangekuwa kwenye category ya pekee kama apple. Chances za kufanya vizuri sokoni ni kubwa kuliko sasa.

Kampuni zinazotengeneza simu za android dunia nzima ni ngapi?

Ukiwa kichwa ila ukawekwa kundi moja na wajinga, wote mtaonekana ni wajinga.
 
hapo sasa nimekuelewa
 
Huawei alipopigwa pini na usa, kampuni iliyoathirika sana ni Samsung.

Samsung anapata hela nyingi kuwauzia wenzake components za ndani kuliko anavyouza simu zake.

Leo hii anatafuta soko la kuwauzia wenzake Exynos, kwake hii ina faida sababu tayari yeye anatumia android vitu kama firmware na drivers vinakuwa tayari hataaanza upya kutengeneza from scratch.

Hivyo kuna advantage kubwa kwa samsung kutengeneza simu za Android hali ya kuwa pia anauza components za Android, inapunguza Cost kwake.
 
Selling specifications instead of features ndo tatizo kuu la samsung, they look good on paper ila kiuhalisia ni za kawaida sana . Hata refresh rate ya 120 waliyoweka ina walakini.
Hivi kati ya iphone Se na Galaxy A50 ipi inauza specs na ipi inauza Feature?
 
Huawei alipopigwa pini na usa, kampuni iliyoathirika sana ni Samsung.

Samsung anapata hela nyingi kuwauzia wenzake components za ndani kuliko anavyouza simu zake.

Leo hii anatafuta soko la kuwauzia wenzake Exynos, kwake hii ina faida sababu tayari yeye anatumia android vitu kama firmware na drivers vinakuwa tayari hataaanza upya kutengeneza from scratch.

Hivyo kuna advantage kubwa kwa samsung kutengeneza simu za Android hali ya kuwa pia anauza components za Android, inapunguza Cost kwake.
Sawa na Nokia au Ericksson wanavyopiga hela kwenye networking segment na haikumuathiri mobile division zilivyokufa.
 
Hivyo ni vitu viwili tofauti.

Nokia na Ericson wanauza Equipment kwa isp kam Voda na Tigo, hawauzi kwenye simu.

Samsung anauza kwenye simu za wenzake.

Unajua kama Samsung Q3 mwaka huu (mwezi wa 7 mpaka wa 9) amereport mauzo na Faida kubwa kupata Kutokea toka kampuni ianzishwe? Lakini mauzo ya Samsung kwenye covid si makubwa sana kama tulivyozoea?

Sababu kubwa iliopeleka hivyo ni demand kubwa ya Memory, ukiangalia wanaotumia hizo components za samsung ni wale wale kina Xiaomi ambao nao mauzo yao yamepanda sana.

Ingekuwa Samsung Hatumii Android kama Qualcomm ama Intel vifaa vyake pia vingekuwa ghali kama hizo kampuni sababu angeuza si hardware tu bali na support nyengine za ku integrate hivyo vifaa kwenye simu, ila sababu tayari Samsung anatengeneza Android, inakuwa ni rahisi kutoa ambacho ameshafanya kwa wenzake bila kuathiri R&D nyengine.
 
Wakuu kwema?? Tumeshuhudia 13 october apple wamereveal iphone12 ambapo kwa taarifa mpaka sasa itavunja record ya iphone11 kwa mauzo na pre orders. Sasa turud kwa topic.

Samsung wali lunch s20 february mwakahuu lakini ndo simu ambayo imefanya vibaya sana sokoni hta price imeporomoka sana. Tatizo ni nini?

Wale wataalam karibuni kwa huu mjadala
Mtazamo wangu S20 wamejihujumu wenyewe kwa nini:-

1.Kabla hawajaitoa S20 walitoa A71 amabayo ni copy kwa kila kitu na S20

Simu hii ina bei nzuri na ina ubora sana kwa wanunuzi wa kipato cha kawaida wengi wameishia hapa,mtu anaona badala ya kulipa 2m bora alipe 900k kwa a71

2.Baada tu ya kuona A71 inafanya vyema sokoni Samsung wakaachia A51 yenye kufanana kila kitu na S20 ikiwa na bei ndogo sana hii kwa watanzania pekee wanamiliki wengi sana

Hii imeua kabisa soko la S20

3.A series's ndio mchawi wa S20 kwa ujumla

Na sasa kuna M series's ambazo ni copy pure ya S20

S20 inatoka copy zake tayari zimezoeleka na kununulika sana sokoni.

Mtazamo wangu.
 
Bei ya hizo A51 na A71 series ni kubwa sana kiasi kwamba wanapata super profit, faida inayopatikana kwenye hizo simu haitofautiani na flagship. A71 yenye sd 765G ilizinduliwa kwa dola 600 ambayo ni bei ya flagship. Hivyo kwao wao Samsung ni faida ila ni maumivu kwetu.

A50 na A70 zilikuwa na bei fair zaidi.
 
Nakubaliana kabisa na wewe mkuu.

Yaani vyovyote ilivyo bado Samsung wanapiga pesa mno achana na ku fail kwa S20 sokoni.

Japo pia si haba kwa soko lao pia zimenunuliwa sana.
 
Sababu ni nyingi ila moja ya hizo sababu ni mkanganyiko kuhusu chip ya Snap dragon na Exynos, Snap dragon ipo kwenye baadhi ya Note 20 na inafanya vizuri sana , pia Exynos ipo kwenye hiyo Note 20 critics wameiponda sana kwa kuwa haifanyi vizuri kushinda snapdragon na bado wanaziuza bei sawa kutokana na location so mtu ambaye yupo sehemu ambapo hapati Note 20 yenye Snapdragon ni kheri anunue simu nyingine tuu kuliko kununua Samsung powered by Exynos kwa bei ya juu.
 
Siwezi kulinganisha plastic phone na iPhone SE , ni mbingu na ardhi. Hata samsung wanajua

wewe jamaa hapo ndio huwa unaharibu,huwa hauko realistic kabisaa.

kwahiyo umeipenda se sababu ni metalic au.
 
There is no way ukalinganisha A50 na SE . Ni mbingu na ardhi hata Mkwawa akipewa kuchagua atachukua SE Haraka sana. Ukienda kuchek specs utakuta A50 ina namba za kutosha selfie 25MP ila in reality Hamna kitu ndo maana nikasema Samsung ana ship specs . Nenda angalia specs za A50 utanielewa

Au angalia tu review ya flagship yao focus kwenye 120 refresh rate utaona jamaa wanavyoweka specs kubwa ila ku deliver hawawezi, fungua hii video uone jinsi ya ku set 120, ni wizi mtupu

Alafu fungua iPad Pro uone 120 ilivyo auto , yan processor inajua bila kumsumbua mteja, device yenyewe inajua wakati wa ku run 120 na wakati wa 60 bila wewe kujua ila Kwa Samsung mpaka uiweke on /off which means hata content haihitaji 120 yenyewe itastruggle na 120 Kwa kuwa ushaiweka on. Hili ni tatizo kubwa la optimization na chip customization.

That’s why nilisema android hazina features zina specs. Unakuta simu imewekwa kwenye camera badala ya camera kuwekwa kwenye cm
 
Nimeuliza hilo swali makusudi, Se ina namba za kutosha pia ikiwemo flagship processor, ni kweli mimi ningechagua Iphone Se over A50 lakini Dunia Imechagua A50 Over iphone Se watu wameacha processor kali, gpu kali, wakafuata kioo Kizuri, hivyo sometime namba (Benchmarks) pia Zipo kwenye iphone na watu wanazipotezea. A50/51 ni simu bora ya pili kwa mauzo nyuma ya iphone 11/Xr kwa wakati wake.

Kuhusu hio Ipad ndio una compare na S20? Kwanini usitafute size yake Galaxy Tab s7+ ili ufanye comparison nzuri.
 
Kama A10 sawa na Tecno tuu wanatofautiana Brand name ila mengine yote yale yale...kwanza hata camera ya mbele haina flash
 
Nimeuliza hilo swali makusudi, Se ina namba za kutosha pia ikiwemo flagship processor, ni kweli mimi ningechagua Iphone Se over A50 lakini Dunia Imechagua A50 Over iphone Se watu wameacha processor kali, gpu kali, wakafuata kioo Kizuri, hivyo sometime namba (Benchmarks) pia Zipo kwenye iphone na watu wanazipotezea. A50/51 ni simu bora ya pili kwa mauzo nyuma ya iphone 11/Xr kwa wakati wake.

Kuhusu hio Ipad ndio una compare na S20? Kwanini usitafute size yake Galaxy Tab s7+ ili ufanye comparison nzuri.

SE imetoka mwaka baada ya A50,

Kuhusu 120 nimelinganisha intelligence ya processor wala si iPad vs Galaxy (Maana huwezi linganisha IPad pro na Samsung Tab) Jinsi processor inavyoweza kutambua matumizi ya mtumiaji na kwenda nayo bila mtumiaji ku notice.
 
There is no way ukalinganisha A50 na SE . Ni mbingu na ardhi hata Mkwawa akipewa kuchagua atachukua SE Haraka sana. Ukienda kuchek specs utakuta A50 ina namba za kutosha selfie 25MP ila in reality Hamna kitu ndo maana nikasema Samsung ana ship specs . Nenda angalia specs za A50 utanielewa

Au angalia tu review ya flagship yao focus kwenye 120 refresh rate utaona jamaa wanavyoweka specs kubwa ila ku deliver hawawezi, fungua hii video uone jinsi ya ku set 120, ni wizi mtupu

Alafu fungua iPad Pro uone 120 ilivyo auto , yan processor inajua bila kumsumbua mteja, device yenyewe inajua wakati wa ku run 120 na wakati wa 60 bila wewe kujua ila Kwa Samsung mpaka uiweke on /off which means hata content haihitaji 120 yenyewe itastruggle na 120 Kwa kuwa ushaiweka on. Hili ni tatizo kubwa la optimization na chip customization.

That’s why nilisema android hazina features zina specs. Unakuta simu imewekwa kwenye camera badala ya camera kuwekwa kwenye cm

Na pia mkuu Note 20 ultra inasupport variable refresh rate.

Mfano wewe umesifia ipad inaweza Switch baina ya 120hz na 60hz,

Kwenye Note 20 variable refresh rate inaweza simama kwenye Hz yoyote ile kutegemea na content, kama unaangalia picha itakaa around 10hz ukiangalia video itamatch fps, game lenye fps nyingi itaenda hadi 120hz etc. Hivyo kwa sasa Note 20 ultra ndio advanced zaidi.
 
Back
Top Bottom