Hahahah tunakaa kusubiri wenye utaalam wao. Eti sijui tumelogwa..Hahaha ndo ivo inabidi tuwe wapole tunaposubiri wadau waje
Uhakika wa Chombo ndo mchezo wa pata potea. Lkn bei zao zinashawishi, ukizingatia na ukata wa bongoBora tanzania kwa sababu
1. Ukihitaji ni ndani ya siku moja tu
2. Uhakika wa chombo maana unakiona wakati wa kununua.
3. Uhakika wa kuhudumiwa ndani ya miezi sita ikizingua.
Hivi Alibaba ni bidhaa za China tu basi. Hakuna mataifa mengine yanayoweka bidhaa ao labda ?Hizo za kichina mkuu siyo bajaj original from india,kama unataka original search kwenye soko la india,tatizo linalokuja ni export from india labda uwe na mtu kule india
Yap maana nlijaribu kutaka kuagiza nikaambiwa wana agent wao huku! Nlichonote lbda uwe na mtu kule anunue na kutuma lakini wao baadhi hawatumi wanakuconnect na agent wao wa hukuHizo za kichina mkuu siyo bajaj original from india,kama unataka original search kwenye soko la india,tatizo linalokuja ni export from india labda uwe na mtu kule india
Lakini huku bei inakubwa zaidi pengine mara mbili hadi tatu. Hilo ukiwauliza wanasemaje ?Yap maana nlijaribu kutaka kuagiza nikaambiwa wana agent wao huku! Nlichonote lbda uwe na mtu kule anunue na kutuma lakini wao baadhi hawatumi wanakuconnect na agent wao wa huku
Iv kumbe mpk bajaj nazo znaenda tbs . Yaan tatz serikali yetu nayo inanjaa sana ya mapato kipindi hikiUnaweza agiza alibaba moja kwa moja ila hakikisha inafanyiwa inspection huko wakutumie na document za kapeleka tbs. China mpaka tz ni siku 30 mpaka 45 pia hakikisha unajua makadirio ya ushuru Tanzania ili usije ukaicha bandarini.