Ipi ni mashine bora ya gemu kati ya Xbox One na Ps4

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
Kati ya XBOX ONE na PS4

Ipi ni chaguo lako?? Kwanin??
 
Ps4 iko juu..xbox ni wafata upepo kwenye kila kitu PS4 knocks out Xbox one..
 
KILA KITU? hapana xbox inarun apps za windows za metro unaweza fanya mambo madogo madogo kama youtube na skype, xbox ina kinect ambayo ni millions times better kuliko ps eye. ndani ya mikono ya developers bora kinect imefanya hadi ukuta kuwa touch screen.

ps nayo ina faida zake kama 1080p gaming na bei rahisi.

all in all wote wachumba si xbox one wala ps4 anaemfikia pc gaming. desktop lako la laki 5 hadi 6 unacheza game za 1080 hadi unaacha mwenyewe
 
Mimi nadhani Ps kampita X box kwenye upande wa kuwa na Games nyingi tuu na upatikanaji wake ila kwa Graphics. Muache X Box aisee.
 
Nataka kuchukua ps4 soon nafkiri j4,,,,mi sijui kwanini ila nazikubali sana ps kuliko Xbox ImageUploadedByJamiiForums1408355552.771812.jpg

Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
KILA KITU? hapana xbox inarun apps za windows za metro unaweza fanya mambo madogo madogo kama youtube na skype, xbox ina kinect ambayo ni millions times better kuliko ps eye. ndani ya mikono ya developers bora kinect imefanya hadi ukuta kuwa touch screen.

ps nayo ina faida zake kama 1080p gaming na bei rahisi.

all in all wote wachumba si xbox one wala ps4 anaemfikia pc gaming. desktop lako la laki 5 hadi 6 unacheza game za 1080 hadi unaacha mwenyewe

Nje ya PC gaming, unanishauri nitumie ipi??
 
unapenda game zipi? maana kuna game zipo exclusive xbox na nyengine ps4. mfano game kama forza na halo series zipo xbox tu na game kama killzone na infamous zipo ps4 tu. kuna game zina quality kubwa console 1 kushinda nyengine

mimi si mtaalam sana na console na huwa naprefer wii na nintendo over ps na xbox sababu sana nacheza jrpg.

ngoja aje huyu jamaa hapa leh atakusaidia ila last time alikuwa anarecomend sana xbox 360 sababu unadownload tu games na kuburn
 
Last edited by a moderator:

Okay thanks

Mi napenda sana game za magari
 
Mkuu, Xbox One ndio chombo cha uhakika kwa sasa zaidi ya hio PS4.

Xbox one au all in one, imeundwa itumie OS mbili ile ya games na ya windows na unaweza kutumia apps zingine kama Skype huku bado ukiendelea kucheza game ufanisi ukiwa palepale.

Hii inasaidia maana hutahangaika kuchomoa nyaya ili uangalie telly na halafu urudi tena kucheza game. Hivyo kwenye vipengele vya power na performance Xbox one inakuwa kama super computer kwa kuunganisha CPU, GPU na ESRAM.

Na kabla ya mwisho wa mwezi huu Microsot watafanya update kubwa ya firmware ambayo itakuwa ni muhimu sana. katika Update hiyo pamoja na mambo mengine kutakuwa na update ya 3D Blu-Ray ambapo application itawezesha Xbox one iwe na 3D Blu-Ray functionality.

PS4 ni muendelezo wa PS3 na iko imited sana kwenye matumuzi hasa kwenye kutumia pamoja titles kwenye mtandao mtumiaji na watumiaji wengine ambapo itakuwa ianruhusiwa kwa dakika 60 tu.

Sasa hii time limitations kwa watumiaji wanaopendelea mchezo unaoitwa co-op action inakuwa hailipi.

Hivyo basi kwa mimi Xbox One ndio bora zaidi.
 
Pc gaming ndio kila kitu na ukiwa mjanja unaweza kutumia games free za kila aina.

Lakini mkuu, si utaingia gharama sana kununua gaming PC halafu pia ununue Accessories zake kama headsets,controllers na vingine- kwa kifupi kila kitu unachotakiwa uwe nacho unapocheza hio PC game yako?

Ila ukinunua Game Console moja kama Xbox One unakuwa umemaliza na si kama PC maana kwenye PC pia unahitaji ukubwa wa memory wa kutosha pamoja na HDD.
 
Kiukweli mi coni maendeleo yoyote maendeleo yoyote kwenye ps4 japo ckatai kama yapo(haina tofauti sana na ps3) , ila xbox one is better, cna haja ya kuzirudia sababu wamezitaja wakuu hapo juu
 
Mkuu, Xbox One ndio chombo cha uhakika kwa sasa zaidi ya hio PS4.

Xbox one au all in one, imeundwa itumie OS mbili ile ya games na ya windows na unaweza kutumia apps zingine kama Skype huku bado ukiendelea kucheza game ufanisi ukiwa palepale.

Hii inasaidia maana hutahangaika kuchomoa nyaya ili uangalie telly na halafu urudi tena kucheza game. Hivyo kwenye vipengele vya power na performance Xbox one inakuwa kama super computer kwa kuunganisha CPU, GPU na ESRAM.

Na kabla ya mwisho wa mwezi huu Microsot watafanya update kubwa ya firmware ambayo itakuwa ni muhimu sana. katika Update hiyo pamoja na mambo mengine kutakuwa na update ya 3D Blu-Ray ambapo application itawezesha Xbox one iwe na 3D Blu-Ray functionality.

PS4 ni muendelezo wa PS3 na iko imited sana kwenye matumuzi hasa kwenye kutumia pamoja titles kwenye mtandao mtumiaji na watumiaji wengine ambapo itakuwa ianruhusiwa kwa dakika 60 tu.

Sasa hii time limitations kwa watumiaji wanaopendelea mchezo unaoitwa co-op action inakuwa hailipi.

Hivyo basi kwa mimi Xbox One ndio bora zaidi.

Kumbe hadi wa update ndio itumie blue ray...Ps3 ilkuwa na blue ray hadi Ps4..Mi na prefer Ps coz ni classic game console hata Pad zake ziko comfortable.. Hii kitu ni legend...always Ps watawaknock out Xbox in upcoming console performance.. Nachagua console yny performance nzuri
 
kwanza kwenye upande wa performance xbox iko poa sana lakini pia good graphics, hata inapohusu pad pia za xbox ni comfortable tena z better than ps.jarib ku2mia utagundua hilo. Sasa ps watawaknock vp out bila maendeleo yoyote
 
Lakini mkuu, si utaingia gharama sana kununua gaming PC halafu pia ununue Accessories zake kama headsets,controllers na vingine- kwa kifupi kila kitu unachotakiwa uwe nacho unapocheza hio PC game yako?

Ila ukinunua Game Console moja kama Xbox One unakuwa umemaliza na si kama PC maana kwenye PC pia unahitaji ukubwa wa memory wa kutosha pamoja na HDD.

kama utataka luxury (laptop) utaingia gharama ila ukitengeneza deaktop mwenyewe au ukatafuta member wanaojua kutengeneza humu jf wakakusaidia dola 500 umemaliza kila kitu hadi kinect unayo
 
Back
Top Bottom