Ipi ni madhara ya kufunga muda mrefu zaidi ya masaa48?

Ipi ni madhara ya kufunga muda mrefu zaidi ya masaa48?

Nimeanza na masaa24

Leo nimefika masaa 25
Nataka slow slow nifike masaa48, max siku 4

Nimeambiwa ni nzuri kwa kufanya body reset na healing

Lakini pia ni muhimu kujua madhara yanayoweza kutokea kwa sababu hiyo si mfungo wa kawaida!
ipi ni madhara ya mfungo wa zaidi ya masaa24 had 48
1749045211091.jpeg
 
Kuna watu wanapenda dini hatari
Mama mkwe wangu hufunga kwa masaa 72 bila kula

Na anafanya hizi zaidi ya miaka 20. Sijajua madhara ila yuko ngangari, nadhan mwili unajemga mazoea

Ila mimi binafsi sijawah funga toka nizaliwe. Kwa wanaonijua nina kitambi amazing. .
 
Back
Top Bottom