jaribu kuitumia UC browser.acheni utan bhana
Google Chrome ni nzuri kuliko nyinginezo kutokana na kuwa na uwezo mkubwa wa kusoma markup na formatting languages almost zote, bila kusahau flexibility ya kusoma webpages kama desktop au mobile kwa wakati mmoja.Wakuu ipi ni browser nzuri, kwa maana ipo faster na inaweza kusave page offline?
Nawasilisha
~Cmb
Hii mkuu nakuunga mkonoUC Browser
Naikubali sana hiiCM browser icheki playstore