Ipi ni biashara ya ndoto yako?

Ipi ni biashara ya ndoto yako?

Naja naja

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
747
Reaction score
1,462
Kuna baadhi ya watu wanafanya biashara lakini biashara wanazozifanya si biashara za ndoto zao pengine labda msingi hautoshi au mazingira hayaruhusu kufanya biashara ambayo yeye anaifikiria kuifanya.

Sasa wewe ipi ni biashara ya ndoto yako na kwa nini unashindwa kuitekeleza mpaka sasa?

1619588950224.png

 
N
Biashara ya ndoto zangu ni kufungua duka kubwa la electronics

Kufungua mgahawa mkubwa.

Ufugaji wa kisasa wa samaki kibiashara.

Ufugaji wa kuku kibiashara.
Tupe mfano wa mgahawa unaouzungumzia.
 
Back
Top Bottom