Ipi ni biashara ya ndoto yako?

Ipi ni biashara ya ndoto yako?

Kwanza ukiwa na mteja unamwambia alipe pesa nusu kwanza kabla hujaship mzigo.

Pili hukosi overdraft bank kama mteja unaye tayari.

Ni wewe kujua process zinaendaje.
Hedge Fund pia nilionaga kwa huyu aliyekaa kwenye Avatar ya hii ID boss unaweza nieleze huyu jamaa na hivyo vitu vyake.
 
Asante kwa ushauri ila unamuonaje Mtoto.
Kisu dingi, melanin imekolea utasema mkaa, simply, ka blac beauty flan amazing. By the way, mi matamanio yangu ni kuja kufungua Casino.
 
Nashukuru sana kwa hili
Kwanza ukiwa na mteja unamwambia alipe pesa nusu kwanza kabla hujaship mzigo.

Pili hukosi overdraft bank kama mteja unaye tayari.

Ni wewe kujua process zinaendaje.
 
Back
Top Bottom