Change_down JF-Expert Member Oct 3, 2015 276 53 Oct 23, 2015 #41 Emmani said: Ipi kati ya hizi ni bendera rasimi ya chama cha wapiganaji; Click to expand... ........ nyingine hizo hapo...... Attachments 1445600877524.jpg 19 KB · Views: 550
Emmani said: Ipi kati ya hizi ni bendera rasimi ya chama cha wapiganaji; Click to expand... ........ nyingine hizo hapo......
MarkM Member Oct 16, 2015 20 5 Oct 23, 2015 #42 NG'OMBE said: hivi kuna watu mnajiaminisha kabisa kuwa Lowassa atakuwa Rais? labda rais wa wafugaji. Click to expand... Wewe unajiaminisha Hashim Rungwe atakuwa Rais kwahiyo unajiona mjanja
NG'OMBE said: hivi kuna watu mnajiaminisha kabisa kuwa Lowassa atakuwa Rais? labda rais wa wafugaji. Click to expand... Wewe unajiaminisha Hashim Rungwe atakuwa Rais kwahiyo unajiona mjanja
Blaki Womani JF-Expert Member Feb 28, 2011 11,229 13,431 Oct 23, 2015 #43 Mvangila said: Jamani Tundu Lissu kapotelea wapi? mbona simsikii na simuoni? Click to expand... Kama humsiki ongeza sauti lol
Mvangila said: Jamani Tundu Lissu kapotelea wapi? mbona simsikii na simuoni? Click to expand... Kama humsiki ongeza sauti lol
KakaJambazi JF-Expert Member Jun 5, 2009 18,711 12,067 Oct 23, 2015 #44 Emmani said: Ipi kati ya hizi ni bendera rasimi ya chama cha wapiganaji; Click to expand... Ya kulia, zingine ni mahaba tu.
Emmani said: Ipi kati ya hizi ni bendera rasimi ya chama cha wapiganaji; Click to expand... Ya kulia, zingine ni mahaba tu.
msemakweli JF-Expert Member Feb 20, 2014 1,627 880 Oct 23, 2015 #45 Mapirobe said: View attachment 301777 Click to expand... Ukimaanisha nn mkuu?
B bato JF-Expert Member Dec 20, 2012 3,834 3,270 Oct 23, 2015 #46 Chadema iko mioyoni,siyo vitambaa,kama rais Dr Slaa alivyo rais wa mioyoni mwa wana CDM hata Leo. Chezea mahaba.
Chadema iko mioyoni,siyo vitambaa,kama rais Dr Slaa alivyo rais wa mioyoni mwa wana CDM hata Leo. Chezea mahaba.
CleverKING JF-Expert Member Apr 24, 2014 8,503 25,466 Oct 23, 2015 #47 Emmani said: Ipi kati ya hizi ni bendera rasimi ya chama cha wapiganaji; Click to expand... Hilo bati lilivyojaa Kutu hapo juu si Lingefanyiwa MABADILIKO kwa kupakwa japo rangi??!!
Emmani said: Ipi kati ya hizi ni bendera rasimi ya chama cha wapiganaji; Click to expand... Hilo bati lilivyojaa Kutu hapo juu si Lingefanyiwa MABADILIKO kwa kupakwa japo rangi??!!
T The Elephant JF-Expert Member Dec 18, 2014 4,345 4,608 Oct 23, 2015 #48 mkuu kwani huko mitaani kwenu inatumika ipi kati ya hzo?