rapharacker
Member
- Jul 22, 2016
- 65
- 23
Habari wana jukwaa naomba kuuliza ni kampuni gan (brand gani) ya A.C inadumu muda mrefu zaidi bila changamoto, gharama yake sio kubwa na ufanyaji kazi wake ni wa ufanisi zaidi?,
Je ni kweli A.C zenye inverter zinakula umeme kiasi kidogo kuliko ambazo hazina inverter? Naomba wazoefu wa hizi machine mnisaidie kupata majibu
Je ni kweli A.C zenye inverter zinakula umeme kiasi kidogo kuliko ambazo hazina inverter? Naomba wazoefu wa hizi machine mnisaidie kupata majibu