Ipi nafasi ya handsome (mzuri) katika mapenzi!

Ipi nafasi ya handsome (mzuri) katika mapenzi!

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Wandugu habari zenu!
Si jambo la msingi sana kimjadala lakini ni vema kujadili maana nimetoana povu na mtu mda mchache uliopita
Swala lenyewe lilikuwa ni ipi nafasi ya mwanaume handsome (mzuri)katika mapenzi?
Mimi nilisema siamini mapenzi kama yanaweza kuendeshwa kwa mwanamme kuwa mzuri
Ila mapenzi yanaweza kusonga kama mwanaume atakuwa rijali ana upendo wa kweli nk na fundi mzuri awapo mzigoni
Imetokea vuta ni kuvute kubwa juu ya mjadala huo ila sikuwa na wasiwasi nilijuwa nikiliweka swala hili hapajf
Kuna vichwa na majibu yatapatikana tu.nalileta kwenu wakuu kwa majadiliano zaidi.
 
mwonekano wa nje pekee hauwezi kusimamia shoo ya upendo.
 
Mada yako umeipindisha,hoja ilikua MWANAUME UZURI AU MWANAUME PESA????????Nan alikuambia handsome hawez kupiga mzigo?Tena anaweza kupiga hata zaid ya mwingine
 
We hujui ule u handsome wake akijumlisha na ufund,mwanamke anapata mautam balaa,
 
Uhandsome upo machoni pa mchaguaji,ukichaguliwa ujue we handsome wa aliyekuchagua,kushney!
 
mwonekano wa nje pekee hauwezi kusimamia shoo ya upendo.

Kukupenda, imekuwa kero
Kutwa kucha kunitenda, mi mwana wa mwenzio

Nachofanya mi sikioni, ila masikio yanasikia wee
Nachofanya mi sikioni, ila masikio yanasikia wee

Kupenda na kupenda kweli, ah sikatai
Uwepo wako ni mzuri, maishani nafurahi
Kupenda na kupenda kweli, ah sikatai
Uwepo wako ni mzuri, maishani nafurahi

Ila ya moto, ya moto mapenzi
Mapenzi ya kitoto, ya kitoto mie siwezi
Ila ya moto, ya moto mapenzi
Mapenzi ya kitoto, ya kitoto mie siwezi
 
asa kwenye hizi mavituz si unakuwa umefumba macho unaskilizia mautamu nn ehh , huo uhandsome kapigiie picha photopoint bana
 
Kukupenda, imekuwa kero
Kutwa kucha kunitenda, mi mwana wa mwenzio

Nachofanya mi sikioni, ila masikio yanasikia wee
Nachofanya mi sikioni, ila masikio yanasikia wee

Kupenda na kupenda kweli, ah sikatai
Uwepo wako ni mzuri, maishani nafurahi
Kupenda na kupenda kweli, ah sikatai
Uwepo wako ni mzuri, maishani nafurahi

Ila ya moto, ya moto mapenzi
Mapenzi ya kitoto, ya kitoto mie siwezi
Ila ya moto, ya moto mapenzi
Mapenzi ya kitoto, ya kitoto mie siwezi

Mkuu haya mashairi umekopi na kuesti au umeyakariri....
 
nawasubiri wenye sura ngumu na wenye wapenzi makauzu waje kutiririka hapa. Utawajua tu.
 
Kiukweli mimi ni handsome na ni fundi mzuri sana...wadada wanapagawa sana.!
 
Sijawahi kusikia Wema Sepetu anajisifia mzuri ila nimesikia mara kadhaa humu Jf wanaume wanajisifia kuwa wao ni wazuri na wanapagaisha dada zetu!!
 
girls wanachagua feature usoni,wengine macho,wengine dimples,wengine lips na wengine hupenda sauti

mwisho ni kitandani ukido fresh basi ameridhika

BUT NOW LADIES ARE H.OES THEY DNT CARE WHATEVER THEY UNDERSTAND CASH
 
Kukupenda, imekuwa kero
Kutwa kucha kunitenda, mi mwana wa mwenzio

Nachofanya mi sikioni, ila masikio yanasikia wee
Nachofanya mi sikioni, ila masikio yanasikia wee

Kupenda na kupenda kweli, ah sikatai
Uwepo wako ni mzuri, maishani nafurahi
Kupenda na kupenda kweli, ah sikatai
Uwepo wako ni mzuri, maishani nafurahi

Ila ya moto, ya moto mapenzi
Mapenzi ya kitoto, ya kitoto mie siwezi
Ila ya moto, ya moto mapenzi
Mapenzi ya kitoto, ya kitoto mie siwezi

Mkuu hili bonge la nyimbo naikubali sana..
 
U handsome mwisho form four.....otherwise wanawake wazuri utaishia kuwaita shemeji...kuna watu wana sura ngumu mpaka wakaitwa nyara za serikali lakini wanamiliki totoz za hatareee!
 
wangu ni
HANDSOME
SHOW ANASIMAMIA MPAKA UNAOMBA POO
ALAFU ANA HELA

natamani anioe fasta maana ni kila kitu in one package
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom