Ipi nafasi ya handsome (mzuri) katika mapenzi!

Ipi nafasi ya handsome (mzuri) katika mapenzi!

Sijawahi kusikia Wema Sepetu anajisifia mzuri ila nimesikia mara kadhaa humu Jf wanaume wanajisifia kuwa wao ni wazuri na wanapagaisha dada zetu!!

nashangaaa mwanaume kujisifu looooh
simamia show usifiwe
 
Kiukweli mimi ni handsome na ni fundi mzuri sana...wadada wanapagawa sana.!

mwanaume hajisifii uhandsome bana....
by the way unajuaje kama ni kweli wanapagawa au wanakuchota akili tu!!!
 
Mkuu ebu soma vizuri thread. By the way haujaulizwa wewe ni handsome au la?

Mimi handsome kwa sura muonekano kidume, majaliwa ya dushe na shughuli kitandani usipime....!! hutaki unaacha..!
 
Handsome anapendwa hata kama hana kitu....wapo wanawake wanahonga; lakini mpaka upate hiyo bahata (au nuksi) ni mpaka uwe na mvuto.
mwenye sura nzito inabidi achakarike kuzisaka or else ataishia kupendwa na wenye sura nzito wenzie
 
U handsome mwisho form four.....otherwise wanawake wazuri utaishia kuwaita shemeji...kuna watu wana sura ngumu mpaka wakaitwa nyara za serikali lakini wanamiliki totoz za hatareee!
Hiyo biashara sio mapenzi
 
Kukupenda, imekuwa kero
Kutwa kucha kunitenda, mi mwana wa mwenzio

Nachofanya mi sikioni, ila masikio yanasikia wee
Nachofanya mi sikioni, ila masikio yanasikia wee

Kupenda na kupenda kweli, ah sikatai
Uwepo wako ni mzuri, maishani nafurahi
Kupenda na kupenda kweli, ah sikatai
Uwepo wako ni mzuri, maishani nafurahi

Ila ya moto, ya moto mapenzi
Mapenzi ya kitoto, ya kitoto mie siwezi
Ila ya moto, ya moto mapenzi
Mapenzi ya kitoto, ya kitoto mie siwezi

hahahahaha!! hamisi umetisha. tufanye mpango twende studio.
 
Nafasi ya uhandsome ni pale photopoint watakapowasifia picha zenu zinatoka bomba sana,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom