Waambie hawa vijana maana nahisi hawaelewi hii kozi ikoje. Ukiangalia sana, expansion ya uchumi wetu lazima iwe kwenye viwanda, nishati na madini. Maeneo hayo hakuna namna bila MENisikilize Mimi kakako na ukifata ushauri wangu utakuja nishukuru siku moja.
Kuna koz za computer eng, telec eng, electronic eng, compt science na nyingine km hizo, hizi zilikuwaga zaman...
Saiv km unamtu unajua ukimaliza atakubeba bas kasome ila kumbuka imeandikwa alaaniwe amtegemeaye mwanadam(Mwenzio alikuwa anajitapa kuwa babake kamtuma asome koz flan ili amwingize kazin, mwaka wa mwisho anamaliza na Mzee akavuta).
Mechanical Mdogo wangu ipo vizur, asikwambie mtu eti follow ur dream, siku hiz hakuna dream zimebaki drama, we fata upepo utaja jilumu....ova
bro asante kwa ushauri wako naufanyia kaziNisikilize Mimi kakako na ukifata ushauri wangu utakuja nishukuru siku moja.
Kuna koz za computer eng, telec eng, electronic eng, compt science na nyingine km hizo, hizi zilikuwaga zaman...
Saiv km unamtu unajua ukimaliza atakubeba bas kasome ila kumbuka imeandikwa alaaniwe amtegemeaye mwanadam(Mwenzio alikuwa anajitapa kuwa babake kamtuma asome koz flan ili amwingize kazin, mwaka wa mwisho anamaliza na Mzee akavuta).
Mechanical Mdogo wangu ipo vizur, asikwambie mtu eti follow ur dream, siku hiz hakuna dream zimebaki drama, we fata upepo utaja jilumu....ova
Hapana mimi sijasoma hiyoaaaaaaaaah, vp bro ww ndio uliokua unasoma vp
asante kamkubwaUlimwengu unaelekea kwenye mawasiliano kama una Hobby na Mechanical then you can go there but kama ni interm of Wealth and self employed chukua Electronics, Computer science ni very expensive kuanzisha mini workshop ya Mecha but kwa IT ni wewe na Pc yako tu
Ukisikiliza mawazo ya watu humu utachanganyikiwa cha msingi jiulize haya maswaliKaka zangu naombeni msaada ipo kozi nzuri ya kusoma na yenye field nyingi kati ya mechanical na telecomonication.