Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
Hatujamsikia bado mwanasiasa huyu aki-comment kuhusu vigogo wa Tz waliowekewa mapesa ya kifisadi katika mabenki ya Uswisi. kama anautaka uraisi, basi ni vyema akaanza kuzungumzia masuala kama hayo, ama sivyo itakuwa vigumu kumuelewa msimamo wake kuhusu ufisadi hasa atakapotinga Ikulu.