tikatika
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,330
- 4,115
Kuna wakati nikikaa na kutafakari napata tabu kuilewa serikali yangu na kiongozi wetu mkuu.
Sababu za kutoelewa tulipo ni kutokana na kauli za serikali na pengine kauli za rais mwenyewe!!
Nimemsikia mara kadhaa akisema ndugu wananchi tuvumilie kwa sasa tuko kipindi cha mpito. Anaendelea kusema unapokua katika kipindi cha mpito lazma kuna mambo yatakwama hivyo basi tumvumilie ananyoosha nchi. Muda si mrefu itakua imenyooka.
Na hili lilithibitishwa zaid na yeye mwenyewe pale aliposema hela hamna mtaan maana kuna watu wameficha hela na kutishia kutengeneza mpya ndan ya siku tatu!! Au hii haikutuhusu waTZ??
Siku nyingine anakwambia uchumi wetu uko imara kuliko awamu iliyopita . Na kwa sasa tunakusanya mapato mengi , na kiukweli taarifa za TRA ni za kutia moyo, kutoka billion 900 had trillion 1.3 kwa wastan. Kama ingekua biashara binafsi unachekelea tu!!
Sasa tuje kwenye uhalisia wa ile kauli ya kwanza. Kwa ile kauli ya kwanza nakubaliana naye kwamba hali ni ngumu labda kweli tuko kwenye kipindi cha mpito. Maana kwa miaka miwili serikali haijaajili wala kupandisha mshahara!! Huwez kuwa na ofc inaongeza kipato lakn wafanya kaz mshahara ule ule na marupurupu uyapunguze kuliko awali, yaan wakati wanakusanya b900,
Huwez kusema uchumi unapaa huku deni la taifa linaongezeka . Kwann ukope nyingi wakati kipato chako kimeongezeka?? Na ile ya kusema serikali kila mwez inapunguza deni kwa sh billion 900 mh ni uongo. Mbona den linazid kupaa. Maana kama kweli den hupunguzwa kila mwez kias hicho kwa miaka miwili lingekua limepungua kwa trillion 20 na ushee!!
Naomben jibu, tushike kauli ipi uchumi unapaa au tuko kipindi cha mpito tuvumilie hizi shida maana tunanyoosha nchi??