Ipi kauli ya kweli uchumi unakua au tuko kipindi cha mpito tuvumilie??

tikatika

tikatika

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Messages
2,086
Likes
3,085
Points
280
tikatika

tikatika

JF-Expert Member
Joined May 6, 2011
2,086 3,085 280
Kuna wakati nikikaa na kutafakari napata tabu kuilewa serikali yangu na kiongozi wetu mkuu.
Sababu za kutoelewa tulipo ni kutokana na kauli za serikali na pengine kauli za rais mwenyewe!!

Nimemsikia mara kadhaa akisema ndugu wananchi tuvumilie kwa sasa tuko kipindi cha mpito. Anaendelea kusema unapokua katika kipindi cha mpito lazma kuna mambo yatakwama hivyo basi tumvumilie ananyoosha nchi. Muda si mrefu itakua imenyooka.

Na hili lilithibitishwa zaid na yeye mwenyewe pale aliposema hela hamna mtaan maana kuna watu wameficha hela na kutishia kutengeneza mpya ndan ya siku tatu!! Au hii haikutuhusu waTZ??

Siku nyingine anakwambia uchumi wetu uko imara kuliko awamu iliyopita . Na kwa sasa tunakusanya mapato mengi , na kiukweli taarifa za TRA ni za kutia moyo, kutoka billion 900 had trillion 1.3 kwa wastan. Kama ingekua biashara binafsi unachekelea tu!!

Sasa tuje kwenye uhalisia wa ile kauli ya kwanza. Kwa ile kauli ya kwanza nakubaliana naye kwamba hali ni ngumu labda kweli tuko kwenye kipindi cha mpito. Maana kwa miaka miwili serikali haijaajili wala kupandisha mshahara!! Huwez kuwa na ofc inaongeza kipato lakn wafanya kaz mshahara ule ule na marupurupu uyapunguze kuliko awali, yaan wakati wanakusanya b900,

Huwez kusema uchumi unapaa huku deni la taifa linaongezeka . Kwann ukope nyingi wakati kipato chako kimeongezeka?? Na ile ya kusema serikali kila mwez inapunguza deni kwa sh billion 900 mh ni uongo. Mbona den linazid kupaa. Maana kama kweli den hupunguzwa kila mwez kias hicho kwa miaka miwili lingekua limepungua kwa trillion 20 na ushee!!

Naomben jibu, tushike kauli ipi uchumi unapaa au tuko kipindi cha mpito tuvumilie hizi shida maana tunanyoosha nchi??
 
Pilato 007

Pilato 007

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2017
Messages
456
Likes
465
Points
80
Pilato 007

Pilato 007

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2017
456 465 80
Mwenye macho haambiwi tazama Mkuu....soon tutaanza kusoma namba za kilatin
 
B

Bandumbwi

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2017
Messages
338
Likes
213
Points
60
B

Bandumbwi

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2017
338 213 60
Kuna wakati nikikaa na kutafakari napata tabu kuilewa serikali yangu na kiongozi wetu mkuu.
Sababu za kutoelewa tulipo ni kutokana na kauli za serikali na pengine kauli za rais mwenyewe!!

Nimemsikia mara kadhaa akisema ndugu wananchi tuvumilie kwa sasa tuko kipindi cha mpito. Anaendelea kusema unapokua katika kipindi cha mpito lazma kuna mambo yatakwama hivyo basi tumvumilie ananyoosha nchi. Muda si mrefu itakua imenyooka.

Na hili lilithibitishwa zaid na yeye mwenyewe pale aliposema hela hamna mtaan maana kuna watu wameficha hela na kutishia kutengeneza mpya ndan ya siku tatu!! Au hii haikutuhusu waTZ??

Siku nyingine anakwambia uchumi wetu uko imara kuliko awamu iliyopita . Na kwa sasa tunakusanya mapato mengi , na kiukweli taarifa za TRA ni za kutia moyo, kutoka billion 900 had trillion 1.3 kwa wastan. Kama ingekua biashara binafsi unachekelea tu!!

Sasa tuje kwenye uhalisia wa ile kauli ya kwanza. Kwa ile kauli ya kwanza nakubaliana naye kwamba hali ni ngumu labda kweli tuko kwenye kipindi cha mpito. Maana kwa miaka miwili serikali haijaajili wala kupandisha mshahara!! Huwez kuwa na ofc inaongeza kipato lakn wafanya kaz mshahara ule ule na marupurupu uyapunguze kuliko awali, yaan wakati wanakusanya b900,

Huwez kusema uchumi unapaa huku deni la taifa linaongezeka . Kwann ukope nyingi wakati kipato chako kimeongezeka?? Na ile ya kusema serikali kila mwez inapunguza deni kwa sh billion 900 mh ni uongo. Mbona den linazid kupaa. Maana kama kweli den hupunguzwa kila mwez kias hicho kwa miaka miwili lingekua limepungua kwa trillion 20 na ushee!!

Naomben jibu, tushike kauli ipi uchumi unapaa au tuko kipindi cha mpito tuvumilie hizi shida maana tunanyoosha nchi??
Hapa mkubwa lumumba wataishia kukutukana tu maana hawawezi kujibu hoja
 
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
30,735
Likes
17,568
Points
280
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
30,735 17,568 280
Uchumi unakuwa kwenye makaratasi Yao
Kiuhalisia hku mtaani hali bado Ile ile

Ova
 
tikatika

tikatika

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Messages
2,086
Likes
3,085
Points
280
tikatika

tikatika

JF-Expert Member
Joined May 6, 2011
2,086 3,085 280
Hapa mkubwa lumumba wataishia kukutukana tu maana hawawezi kujibu hoja
Naombea tu asije Jerry muro! Maana anaweza kuniambia kwanza nimalizane na dem wangu ndio niulizie hayo mambo!!
 
morenja

morenja

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Messages
4,292
Likes
1,440
Points
280
morenja

morenja

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2012
4,292 1,440 280
Kuna wakati nikikaa na kutafakari napata tabu kuilewa serikali yangu na kiongozi wetu mkuu.
Sababu za kutoelewa tulipo ni kutokana na kauli za serikali na pengine kauli za rais mwenyewe!!

Nimemsikia mara kadhaa akisema ndugu wananchi tuvumilie kwa sasa tuko kipindi cha mpito. Anaendelea kusema unapokua katika kipindi cha mpito lazma kuna mambo yatakwama hivyo basi tumvumilie ananyoosha nchi. Muda si mrefu itakua imenyooka.

Na hili lilithibitishwa zaid na yeye mwenyewe pale aliposema hela hamna mtaan maana kuna watu wameficha hela na kutishia kutengeneza mpya ndan ya siku tatu!! Au hii haikutuhusu waTZ??

Siku nyingine anakwambia uchumi wetu uko imara kuliko awamu iliyopita . Na kwa sasa tunakusanya mapato mengi , na kiukweli taarifa za TRA ni za kutia moyo, kutoka billion 900 had trillion 1.3 kwa wastan. Kama ingekua biashara binafsi unachekelea tu!!

Sasa tuje kwenye uhalisia wa ile kauli ya kwanza. Kwa ile kauli ya kwanza nakubaliana naye kwamba hali ni ngumu labda kweli tuko kwenye kipindi cha mpito. Maana kwa miaka miwili serikali haijaajili wala kupandisha mshahara!! Huwez kuwa na ofc inaongeza kipato lakn wafanya kaz mshahara ule ule na marupurupu uyapunguze kuliko awali, yaan wakati wanakusanya b900,

Huwez kusema uchumi unapaa huku deni la taifa linaongezeka . Kwann ukope nyingi wakati kipato chako kimeongezeka?? Na ile ya kusema serikali kila mwez inapunguza deni kwa sh billion 900 mh ni uongo. Mbona den linazid kupaa. Maana kama kweli den hupunguzwa kila mwez kias hicho kwa miaka miwili lingekua limepungua kwa trillion 20 na ushee!!

Naomben jibu, tushike kauli ipi uchumi unapaa au tuko kipindi cha mpito tuvumilie hizi shida maana tunanyoosha nchi??
Kwa huu muda kama ni kipindi cha mpito ingekuwa tayari kimekwisha .tatizo kipindi chetu cha mpito kimekuwa cha kuporomossha uchumi badala ya kuusimamisha ulipo na kuwekea hatamu mpya kabla ya kuannza kuendelea upya kutoka ulipokua umesimamishiwa .ukweli wa hapa tulipo ni ujenzi wa uchumi ulioporomoka kurudisha ulipokua kabla na sio kuukuza kama ilivyo kwa mwisho wa kipindi cha mpito .vinginevyo tutangoja sana ataa kupita 2020 .ni heri labda tungekua ni nnchi ya uchumi wa mafuta tayari .lakini hii ya kilimo cha mvua na V wonder .inaitaji moyo
 
morenja

morenja

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Messages
4,292
Likes
1,440
Points
280
morenja

morenja

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2012
4,292 1,440 280
Kuna wakati nikikaa na kutafakari napata tabu kuilewa serikali yangu na kiongozi wetu mkuu.
Sababu za kutoelewa tulipo ni kutokana na kauli za serikali na pengine kauli za rais mwenyewe!!

Nimemsikia mara kadhaa akisema ndugu wananchi tuvumilie kwa sasa tuko kipindi cha mpito. Anaendelea kusema unapokua katika kipindi cha mpito lazma kuna mambo yatakwama hivyo basi tumvumilie ananyoosha nchi. Muda si mrefu itakua imenyooka.

Na hili lilithibitishwa zaid na yeye mwenyewe pale aliposema hela hamna mtaan maana kuna watu wameficha hela na kutishia kutengeneza mpya ndan ya siku tatu!! Au hii haikutuhusu waTZ??

Siku nyingine anakwambia uchumi wetu uko imara kuliko awamu iliyopita . Na kwa sasa tunakusanya mapato mengi , na kiukweli taarifa za TRA ni za kutia moyo, kutoka billion 900 had trillion 1.3 kwa wastan. Kama ingekua biashara binafsi unachekelea tu!!

Sasa tuje kwenye uhalisia wa ile kauli ya kwanza. Kwa ile kauli ya kwanza nakubaliana naye kwamba hali ni ngumu labda kweli tuko kwenye kipindi cha mpito. Maana kwa miaka miwili serikali haijaajili wala kupandisha mshahara!! Huwez kuwa na ofc inaongeza kipato lakn wafanya kaz mshahara ule ule na marupurupu uyapunguze kuliko awali, yaan wakati wanakusanya b900,

Huwez kusema uchumi unapaa huku deni la taifa linaongezeka . Kwann ukope nyingi wakati kipato chako kimeongezeka?? Na ile ya kusema serikali kila mwez inapunguza deni kwa sh billion 900 mh ni uongo. Mbona den linazid kupaa. Maana kama kweli den hupunguzwa kila mwez kias hicho kwa miaka miwili lingekua limepungua kwa trillion 20 na ushee!!

Naomben jibu, tushike kauli ipi uchumi unapaa au tuko kipindi cha mpito tuvumilie hizi shida maana tunanyoosha nchi??
Kwa huu muda kama ni kipindi cha mpito ingekuwa tayari kimekwisha .tatizo kipindi chetu cha mpito kimekuwa cha kuporomossha uchumi badala ya kuusimamisha ulipo na kuwekea hatamu mpya kabla ya kuannza kuendelea upya kutoka ulipokua umesimamishiwa .ukweli wa hapa tulipo ni ujenzi wa uchumi ulioporomoka kurudisha ulipokua kabla na sio kuukuza kama ilivyo kwa mwisho wa kipindi cha mpito .vinginevyo tutangoja sana ataa kupita 2020 .ni heri labda tungekua ni nnchi ya uchumi wa mafuta tayari .lakini hii ya kilimo cha mvua na V wonder .inaitaji moyo wauvumilivu kwelli kweliii
 
sodoliki

sodoliki

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
1,638
Likes
761
Points
280
sodoliki

sodoliki

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
1,638 761 280
waulize NMB, Swissport au Tanga cement wao wameona faida za uchumi kukua
 
McDonaldJr

McDonaldJr

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Messages
6,376
Likes
6,254
Points
280
McDonaldJr

McDonaldJr

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2013
6,376 6,254 280
Kupanda au kushuka kwa uchumi hakuitaji takwimu na kuchorewa ma-graph jombaaa yaani mtu mmoja mmoja tu anatosha kuona mabadiliko alafu ndio tunakuja kuona kwa pamoja naona mjomba na timu yake wamekomaa na graphs tu
 
Ranks

Ranks

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Messages
2,597
Likes
866
Points
280
Ranks

Ranks

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2012
2,597 866 280
Kiufupi huyu bichwa anazamisha nchi.
 
tikatika

tikatika

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Messages
2,086
Likes
3,085
Points
280
tikatika

tikatika

JF-Expert Member
Joined May 6, 2011
2,086 3,085 280
Kupanda au kushuka kwa uchumi hakuitaji takwimu na kuchorewa ma-graph jombaaa yaani mtu mmoja mmoja tu anatosha kuona mabadiliko alafu ndio tunakuja kuona kwa pamoja naona mjomba na timu yake wamekomaa na graphs tu
0e54834b017896217a39087df1938d19.jpg

Sisi na utawala huu tunaangalia michoro hii!!
 
lazalaza

lazalaza

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Messages
2,153
Likes
1,446
Points
280
lazalaza

lazalaza

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2012
2,153 1,446 280
Uchumi kukuwa inatakiwa ile currency ya mwisho iwe nayo inafanya manunuzi. Mfano nauli ya daladala ingekuwa sh 5• 50 lakini kwa Tanzania hata shilingi 50 nayo inapoteza uwezo wake wa kununua vitu.
 
Thad

Thad

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2017
Messages
11,127
Likes
24,697
Points
280
Thad

Thad

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2017
11,127 24,697 280
Unganisha hizo kauli zote mbili utaona kuwa, tuko katika kipindi cha mpito lakini uchumi unakua!
 
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
26,943
Likes
17,694
Points
280
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
26,943 17,694 280
Tanzania has sustained relatively high economic growth over the last decade, averaging 6–7% a year. But while its poverty rate has declined, its absolute number of poor has not because of its high population growth rate. The country's overall population is about 55 million (2016).

Political Context

In October 2015, John Pombe Magufuli, was elected the fifth President of the United Republic of Tanzania, ushering in a period of political change.

Economic Overview

At 7%, in 2016, Tanzania’s economy expanded quickly, putting it close to the top of the fastest growing economies in Sub-Saharan Africa. This expansion softened during the last quarter of 2016, however, and continued to do so into 2017.

Since coming to office, President Magufuli has reoriented public expenditure toward development spending, reducing recurrent expenditure significantly, and intensifying efforts to mobilize domestic revenue. Government spending was cut back, and a cap put in place on the salaries of executive officers. Measures were introduced to control tax exemptions.

At 5.2%, the inflation rate has remained low and close to the Government’s medium-term target of 5%. This recent decline in headline inflation (from March/April’s 6.4%) has been driven by lower food and energy prices.

The current account deficit also declined to about US$1.5 billion (equivalent to 3.1% of GDP) in June 2017, from about US$1.9 billion (equivalent to 4.2% of GDP) in June 2016. The value of exports dropped by 6.2% in the year ending June 2017, compared to the year ending June 2016, while the value of imports dropped by 16.7% over the same period.

In an attempt to boost growth in credit to the private sector and ease tight liquidity, the Bank of Tanzania reduced the discount lending rate from 16% to 12% in March 2017, and followed it with another reduction to 9% in August 2017.

Response has been limited, with the growth of credit to the private sector still very low at 2.8% in June 2017. Interest rates have remained significantly higher.

The fiscal deficit declined to 3% of GDP, its lowest level over the past seven years. This resulted from increased domestic revenue mobilization and controlled recurrent expenditures. The level of payment arrears remained unsustainably high, at about 6% of GDP by June 2017. This includes arrears to suppliers to the central government, as well as suppliers to TANESCO and pension funds. Despite the Government’s effort to verify and clear payments to its suppliers, the emergence of new arrears has meant that the level of debt to suppliers has remained high at about 2% of GDP.

Social Context

Although Tanzania's poverty rate fell from 60% in 2007 to an estimated 47% in 2016, based on the US$1.90 per day global poverty line, about 12 million Tanzanians still live in extreme poverty on earnings of less than US$0.60 per day. Many others live just above the poverty line and risk falling back into poverty in the event of socio-economic shocks. Universal education, and the waiving of fees for primary and secondary schools, has drastically increased primary school enrolment.

Development Challenges

Tanzania's economic prospects depend on investment in more infrastructure, as well as improving the business environment, increasing agricultural productivity and value addition, improving service delivery (to build a healthy and skilled workforce), and managing urbanization. With approximately 800,000 youth entering the labor force every year, nurturing a vibrant private sector to provide productive jobs is critically important.

Tanzania embarked on its second Five Year Development Plan, 2016/17 to 2020/21 (FYDP II), which picks up on interventions which fell short under MKUKUTA II and FYDP I. Based on a credible, realistic financing plan, the country’s fiscal and debt sustainability will be maintained. The private sector can also be leveraged, not only as a source of financing for FYDP II through public private partnerships (PPPs), but also as the actual driver of industrialization.

Last Updated: Oct 05, 2017
 
tikatika

tikatika

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Messages
2,086
Likes
3,085
Points
280
tikatika

tikatika

JF-Expert Member
Joined May 6, 2011
2,086 3,085 280
Unganisha hizo kauli zote mbili utaona kuwa, tuko katika kipindi cha mpito lakini uchumi unakua!
Uchumi unakuaje huku mnasema tuvumilie hali itakua sawa muda si mrefu. Usawahuo utakuawa kuhusu nini? Na je ile kauli ya kusema hela hamna mtaan baada ya watu fulan kuficha hela chini ya godoro unaitolea ufafanuzi gani?
 
Forum statistics

Threads 1,236,885
Members 475,327
Posts 29,270,920