Ipi kali kati ya hizi..!

Ipi kali kati ya hizi..!

Fundifundisho

Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
77
Reaction score
18
Heshima kwenu!
Nataka kununua simu moja kati ya hizi,
1.samsung chat 222 "duo"
2.nokia c2
je ipi nzuri kwa internet?
 
I have used Nokia C2 and I would say Samsung is a good alternative if someone wants opinion.
Samsung is better so far.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Zote mbili ovyo kwa internet, ila ningechagua Samsung kati ya hizo, at least screen kubwa kidogo na ina rangi nyingi zaidi.
 
kama huna uwezo wa ku afford sasmung bada au android sikushauri uchukue kimeo kama hicho. Java phones za samsung hupati support yoyote kama vile apps, software update na mengine mengi.

Nokia wapo vizuri kwenye s40 zaidi wana app nyingi atleast utaenjoy baadhi ya features za smartphone.
 
Chukua NOKIA C2 ni nzuri mi natumia c2 na c5 ni bomba
 
Hapana ki ukweli chukua Samsung pocket unaweza tumia hata social network kiurahisi, na display yake ipo vizuri na bei ipo arround TZS.200,000.0
 
Back
Top Bottom