Ipi inaumiza sana

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,341
Kufumania na kufumaniwa.
 
Dah mkuu pengo lako lilionekana ulienda kumega ulanzi nini?
 
Kufumaniwa ujanja mbaya kufumaniwa
 
Kabakabana, am watching you closely.

Karibu Excellent, missed you!
 
vyote mwana vinaumiza ila kufumania kama zaid vile
Labda ulimpenda sana,ila kufumaniwa kuna aibu na kipigo,labda ufumaniwe ukiwa na super star
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…