mzaramo halisi
Member
- Jul 8, 2013
- 94
- 25
Tukumbushane wadau Simu yako ya kwanza kumiliki. Mi ilikuwa NOKIA 2100 mwaka 2004. Mtandao CELTEl
Siemens S4, kampuni ya Tritel 1999, ilikuwa na majivuno hii kampuni, matangazo yao ilikuwa kusifia mfumo wa digitali wakati mobitel wakiwa analojia, lakini cha ajabu huduma ya sms walikuwa hawatoi kwakila mteja, ukihitaji unalipia $40 halafu unaunganishwa na huduma ya sms, kupokea na kutuma ujumbe ilikuwa tunalipia.Tukumbushane wadau Simu yako ya kwanza kumiliki. Mi ilikuwa NOKIA 2100 mwaka 2004. Mtandao CELTEl

Duh...umenikumbusha lile tangazo lao la kuku anayejaribu kuruka kama ndege lakini anashindwa....halafu mwishoni wanamalizia "..but a bird is just a bird"! Nadhani walikuwa wanawakejeli mahasimu wao wa kipindi hicho...mobitel!Siemens S4, kampuni ya Tritel 1999, ilikuwa na majivuno hii kampuni, matangazo yao ilikuwa kusifia mfumo wa digitali wakati mobitel wakiwa analojia, lakini cha ajabu huduma ya sms walikuwa hawatoi kwakila mteja, ukihitaji unalipia $40 halafu unaunganishwa na huduma ya sms, kupokea na kutuma ujumbe ilikuwa tunalipia...
Motorola yenye antena aka mshindi then nika-advance to Nokia 3310!!