Hizo za kihindi nitazipataje mkuu........hasa hiyo disco dancer..........
Leo nimeona tukumbushane baadhi ya movie zilizotamba enzi hizo katika mfumo wa 'VHS' ipi ilikuvutia katika hizi chache??
View attachment 198327mfano wa mkanda wa 'vhs'
5.View attachment 198332 9.View attachment 198336 11.View attachment 198338
Bado naziangalia izi
Mimi nawakumbuka Billy Blanks, Jeff Wincot, Mathias Huess, Jalal Merhi, Michael Dudichof, Cynthia Rothrock dah list ndefu. Hao wataalam wa movies za martial arts za miaka ya 90 walikuwa wananikosha sana.