Ipi gari ngumu kati ya Toyota RAUM NA Toyota PROBOX

Ahsnte sana kwa kuniongezea ushuhuda Mkuu. Kiukweli napata faraja sana. Je kwa bajet yang ya mil 13, naweza ipata kwa kuagiza mpk niwe nayo mkononi?
Unaipata kabisa mkuu... nakumbuka mimi niliagiza ikaja kwa 12... nikaweka mbwembwe mbwembwe zangu.. rim.. mziki.. tinted.. tairi pana ndo ikafika kama 14 mkuu..
 
Mill.10 unapata bila changamoto
Angalia waagizaji wa magari wanaitwa magari nafuu page yao ipo insta. Ambapo ukiangalia bei ya hyo gari inafika 10m na pia kuna page ya waagizaji wengine nimeisahau ambapo wakikuagizia Japan bei inakuwa pungufu ya kumu,it's my hope kwamba ukiagiza mwenyewe Japan ukiwa na 10m utaipata probox nzuri na pengine kachenchi kakawepo
 
Back
Top Bottom