Dini ya ukweli ni UPENDO ulionyooka.
Upendo haubagui, hauchagui, auhukumu, auhesabu mabaya, haujigambi wala kujikweza. Upendo huvumilia, huchukuliana, haugawanyi, hautoi!
Ukiwa na upendo hautamwibia, hautazini naye, hautomdanganya, hautomnyanyasa, hautomwua, hautotamani mali zake, hautopigana naye. Binadamu mwenzio.
Kama ipo iliyo kinyume na upendo, kwanini uhangaike????

Sasa ya kweli ni ipi mkuu?
Hakuna ya kweli. Zote zmetengenezwa kwaajili ya binadamu mmoja kumexploit binadamu mwengine. just live your life and know your limits and others' help the disable ones and wait for your day to come !
mkuu usijute ni ya kawaida na hiyo ndo elimu yetu ya kibongo na bila tusi huwa hainogiNajuta kuweka hiyo picha
Hadi unamtukania mtu mamayake
Niladhani mgewapongeza hao walioweka hilo bango
Hapana nafikiri utakuwa ule mstari unaoelezea namna Yule jamma aliyepata kipigo kutoka kwa wananchi wenye hasira kali na kumuwamba msalabani na kumvisha pampasi.
Dini ya kweli ile aloridhia mungu tu kwenye kitabu chake nyengine ni uzushi
Una uhakika na huo mstari?si ndio huo ambao muhamad alikua kalewa akaota?
Why always islamic prayers do discriminate other people? Is it for Muslims alone? Does Islam not meant for all people ..like how Christians prays for the whole world? All siners etc?... Huwaga ninaona siku za Eid waislam wanapoenda kutoa zawadi mahospitalini huwaga wanatoa kwa Wagonjwa Waislam tu why? Dini ndo inaelekeza hivo?
We ndo mchochezi. Tatizo ni jinsi ulivyoandika na sio pichaNajuta kuweka hiyo picha
Hadi unamtukania mtu mamayake
Niladhani mgewapongeza hao walioweka hilo bango
Una uhakika na huo mstari?si ndio huo ambao muhamad alikua kalewa akaota?